Ushauri: Mimi mwajiriwa Serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi

Kutokana na aina ya mawazo uliyonayo. Hiyo mil 5 hakuna kitu utafanyia. Miezi miwili tu itakua imekwisha na kazi huna na deni pale pale
 
Ukiacha kazi mwajiri wako ndo analipa deni kama Mkopo una bima basi watalipwa na bima na hakuna atakaekutafuta baada ya siku Tano haipo kazini Sheria itachukua mkondo wake
 
Kutoroka kazini ni kosa la jinai au kinidhamu mkuu?
 
Kutoroka kazini ni kosa la jinai au kinidhamu mkuu?
Kutoroka kazini ni kosa la kinidhamu mkuu ila mazingira niliyoandika mie ni ile mtu anatoroka / anaacha kazi kwenye mazingira ya kutoroka bila kufuata kanuni za utumishi na huku ana deni bank na mwajiri wake amemdhamini (hapo itakuwa sio kosa la kinidhamu tena maana amekimbia deni)..btw uzi ni wa siku nyingi tulikuwa tunabadilishana uzoefu kutokana na comment za baadhi ya watu na nadhani tuli-chat more than hii comment uliyoni-quote kwani kuna wadau walisema achukue ele alafu asepe na ndio hapo wengine tuliona hiyo issue inakuwa ni kosa kama kosa lingine endapo atapatikana baada ya muda flani kupita
 
We jamaa punde utaanza okota makopo,hiyo first class yako with honours na yale ma A yako plus ma special school si uyatumie kutafuta kazi yenye mshahara mzuri utakao kuruhusu kukopa hata >20M.

Kweli A zinapendeza kwenye notesboard tu sio mtaani.
 
Mkuu chukua tuu mkopo na uanzishe hyo bussesnss unayowaza bt USIACHE KAZI, mpk business yko itakapokuwa stable enough. Otherwise unaweza ukachukua mkopo na ukapotea, alafu na kazi uliyokuwa ushaacha so itakuwa ni mateso jasho na damu.
Mkuu upo na mentality ya kuajiriwa ajiriwa si kila mtu ni mwoga WA Maisha.
 
Well said nimependa ujumbe wako mkuu.wanasema ukishindwa kutoboa Kwa rais WA Sasa basi hutaweza kutoboa,
Fursa ni nyingi na wengi walioziona waliogopa kuzichangamkia na now Ndio muda sahihi WA kupambana. Kuajiriwa humfanya mchakarikaji kuwa dhaifu. Nadhani Ndio Kitu kikuu jamaa amekishtukia.

Anastahili pongezi Kwa hatua ngumu na uthubutu WA mapambano.

Kikubwa Bima itahusika lakini pia unaweza tafuta wale wanasheria WA Mtaani ukapata ushauri zaidi.

All the best
 
Mkuuu acha kutafuta Maisha kwa njia za mkato. Utaishia pabaya nakwambia.
 
kijana,huwa unafuatilia mambo ya humu? ungekuwa unafuatilia ungeelewa kwanini huyu engineer anajibiwa namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…