Ushauri: Mimi mwajiriwa Serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi

Vipi ulifanikiwa kuchukua mkopo na kuacha kazi au uliachana na huo mpango?
 
Mhhh kuna dalili za usanii hapa...huyu si alisema yeye ni engineer amesajiliwa tena ana gpa ya first class na div 1 ya pointi 3. Hivi engineer kweli anakosa namna ya kuoata 5m mpaka kuwaza kuiibia bank???
 
Mhhh kuna dalili za usanii hapa...huyu si alisema yeye ni engineer amesajiliwa tena ana gpa ya first class na div 1 ya pointi 3. Hivi engineer kweli anakosa namna ya kuoata 5m mpaka kuwaza kuiibia bank???
Ahahahahahahaha!! Huwa nikiwa bored nakuja kwenye hii sredi nacheeeeka sana. [emoji23] [emoji23] hadi nimeisubscribe na kuifollow.

Yaani ukimsoma Maandishi yake unahisi huyu jamaa hata akifanya mtihani pekee yake darasani anaweza kushika namba mbili....yaani he is super dumb kama jellyfish samaki asie na ubongo wala akili Duniani. [emoji23] then baadae anakwambia ni engineer mwenye one Kali ya O level na A level..C'moon man!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Last edited:
Mh mpaka hapa nimechoka hoiiiiiiiijij maana leo nimepitia ile Siledi ya kuwashauri madogo wa A-level nikakuta upinzani fulani kumbe huyu jamaa yuko hivi duh.
 
Ukiwa na mkopo jiandae kwanza kisaikolojia. Japo M5 ni kidogo sana kwa kukopa ila kama u ajiweka fressh itakutoa, mm huwa nakopa 20m kila miaka 3 ikiisha, nishakopa mara2 namalizia jun2019 huwa kila nikikopa nashusha mjengo japo hauishi ila sasa nina mijengo yangu2
 
Watu km hawa huwa wanakuja kutaka mawazo kwa kujaribu...


Iba baba usepe ukaanze maisha ... Uone vumbi lake
 
Msimlaumu sana labda ni engineer wa halmashauri na ameona anabanwa sasa anataka asanuke aanze mambo yake binafsi so anaomba ushauri.
Kuhusu AAA kuna watu wana magpa makubwa lakini sasa hivi hawajaweza ju secure job any hata kujiajiri. Wanafunzi wengi sana huwa wanaamini kuwa akitoka chuo afanye hata kwa kipindi kifupi kile akichokisomea kisha anaweza kufanya mambo meingine pia huwa kuna raha fulani hivi kufanya kazi iliyokuweka 3-4 etc yrs at college
 
Chukua Mkopo, anza kuweka foundation ya project yako ungali ukiwa kazini. Usiache kazi. AT least unaweza kuacha kazi pale unapojihakikishia mradi wako umesimama vizuri, issue ya makato ya mkopo siyo tatizo maana kama una hela zako kwenye akaunt kila mwezi benki husika watakuwa wanafyeka tu kila mwisho wa mwezi kiroho safi.
 
Nyumba ya matofali ya kuchoma INA Shida gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…