Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

Bado wee kukamatwa tu na wif wako
Jamaa ako s kaingia 18 mzima mzima hapo Ni redcard wote na itakuwa penat halali kbsa
 
Unachepuka hadi unajengea hawara nyumba, bure kabisaaaa
Kumjengea Mchepuko sio kwamba una Ela nyingi,

Ni njia nzur ya kubana matumiz hasa Kama anakoishi unalipa Kodi kubwa sana.

Afu kingine ile nyumba ile bado Ni yako tu,
Mchepuko unamuweka pale aishi TUkwa utulivu,kila document imeandikwa jina lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha.....
Mkuu umecheka?

Huwez amini shemj yangu ananiamini Sana, Dokta keshafumaniwa Mara kibao.

Mi sijawahi fumaniwa ready handled, wife Wangu karelax KABISA na utulivu hup wa wife shemej anaamini Sina mambo Ayo[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kua mchepuko kumbe dili sikuhizi🤔
Nyie mlinywe tu hilo mlilolikoroga.
Naendelea kusoma comments
 
Mchepuko hajazaa nae bado,
Hapa Ndo Tunafanya uchunguz imevuja vipi Hii issue?
MKE kapata wapi namba ya mzee?
MKE kajua wapi Kia's kilichobaki Ni mil 2?
MKE kapajua vipi saiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchepuko hajazaa nae bado,
Hapa Ndo Tunafanya uchunguz imevuja vipi Hii issue?
MKE kapata wapi namba ya mzee?
MKE kajua wapi Kia's kilichobaki Ni mil 2?
MKE kapajua vipi saiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Halafu wakati huo kuna bibi au babu yako mbwinde huko anaishi kwenye nyumba ya nyasi inavuja kinoma...
 
Lkn story ya namna hi nilishawai ona mahali iko HV HV kuhusu kiwanja
 
Nasisitiza...wanaume mliozaliwa mikoani mna shida! Mnaendeshwa na kuhangaishwa na michepuko! Wakati bodaboda wanawatafuna bure
 

Ilo la hacking Huenda likawa kweli[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko SAHII KABISA[emoji120][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamjengea mchepuko nyumba Hana mtoto? Kweli kuwa uyaone.
Mtoto sio LAZIMA,
Kinachokuunganisha na Mchepuko sio mtoto Bali Ni kile anachokupa.

Pia Kumjengea Mchepuko sio kwamba una Ela nyingi za kuchezea.

Ni njia nzur ya kubana matumiz hasa Kama anakoishi unamlipia Kodi kubwa sana.

Afu kingine ile nyumba ile bado Ni yako tu,
Mchepuko unamuweka pale aishi TU kwa amani na utulivu,kila document imeandikwa jina lako.

Siku ukiamua KUZAA nae, inakua Ni advantage kwa mwanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…