Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

Mbona simple tu,Si anakomaa tu kilikuwa cha familia,nilitaka nimalize kabisa malipo ndi nikusuprise my wife wangu.....kama alisoma meseji jamaa atakuwa keshafuta anakomaa tena hajui chochote.
 
Bora kuwa mchepuko wa DeepPond
na crew yake kuliko kuwa mke wa kitunguu maji.
Tatizo la watu wanadhan Kumjengea Mchepuko Ni gharama Sana.

Bila kujua umesevu Kias gani kumjengea kutokana na kulipa Kodi mfulurizo ambazo huenda zingetosha kujenga nyumba ndogo ikakamilika kabisa kuishi.

Nitoe mfano:
Kuna Jamaa juz humu katoka kumlipa Mchepuko Kodi ya mil.4.8 kwa mwaka, na bado utaendelea kudaiwa.

Hii pesa ukiilipa miaka 5 sio Chini ya mil.24 ambayo ingetosha kabisa kujenga nyumba na ukaachana kabisa na kulipa kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona simple tu,Si anakomaa tu kilikuwa cha familia,nilitaka nimalize kabisa malipo ndi nikusuprise my wife wangu.....kama alisoma meseji jamaa atakuwa keshafuta anakomaa tena hajui chochote.
Hapo Ni KUOMBA mungu asiwe anajua background nzima na mhusika alonunuliwa asimjue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boda boda hawa hawa au kuna wengine?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo anadhan kutokumhudumia mwanamke kunaweza kua guarantee ya kutokuliwa na bodaboda.

Mi nimhakikishie TU kwamba mwanamke akiamua kuliwa na yeyote anaemtaka ilo Hakuna guarantee.

Hata mkewe alieko home akijirahisi tu hata waokota makopo wanamlala bila tatizo, achilia mbali hao bodaboda.

Ni suala la mwanamke Mwnyw kajithamini kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Ni KUOMBA mungu asiwe anajua background nzima na mhusika alonunuliwa asimjue

Sent using Jamii Forums mobile app
Akimjua tu huyo mchepuko anaenda mkalisha chupa

Unless aamue kudeal na mumewe tu..

Jmn, mkiwa na makando kando si mtumie tu vitorch for mawasilano.Halafu yawe only straight forward conversations.

Hapo ukute mke alimhack
 
Dalali wenu muaminifu?Kuna habari inafanana kabisa na hii japo imetofautina hapo kwenye mwanamke kulipa aliyeunguz picha ni dalali.
Umenipa wazo jingine,
Huenda Kuna namna dalali akahusika.

Hebu ngoja nimfahamishe jamaa amfatilie dalali wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo anadhan kutokumhudumia mwanamke kunaweza kua guarantee ya kutokuliwa na bodaboda.

Mi nimhakikishie TU kwamba mwanamke akiamuli kuliwa na yeyote Hakuna guarantee.

Hata mkewe alieko home akijirahisi hata waokota makopo wanamlala TU, achilia mbali bodaboda.

Ni suala la mwanamke Mwnyw kajithamini kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
So true
 
Akimjua tu huyo mchepuko anaenda mkalisha chupa

Unless aamue kudeal na mumewe tu..

Jmn, mkiwa na makando kando si mtumie tu vitorch for mawasilano.Halafu yawe only straight forward conversations.

Hapo ukute mke alimhack
SAHII kabisa,
Sijajua Zaid walikua wanawasiliana vipi na uyo Mchepuko wake,
Ila Itabd nimuulize hilo suala ili nijue Wapi pa kuanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wambea sana,
Mnoooo.

Kuna mwingine aliniambia usipange ile apartment ina uchawi[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mwenye nyumba hataki kutumia tu madalali.

Halafu dalali mwenyew mstaarabu huwezi amini.

Wambea kama nini halafu waongoooo
 
Back
Top Bottom