Vijana hawaeleweki kwamba Unapomhudumia mtu wako, unaongeza nafas ya ushawishi, heshima, utii na uanaume wako mbele ya mwanamke wako.
Huwez ukawa uhudumii usafiri wa mwanamke wako, ukapata Nguvu ya kuulizia kwann kachelewa kurud kazini?
Huwez ukawa uhudumii mawasiliano ya mwanamke wako, ukapata Nguvu ya kumuuliza Simu yake anawasiliana na Nani?
Huwez ukawa uhudumii chakula Cha mwenza wako, ukapata Nguvu ya kumuuliza kwann alitolewa dinner?
Unajua tunapolalamika tumeachwa au hatupendi Lazima turejee nyuma kwenye uwajibikaji wako mwenyewe mwanaume.
Sent using
Jamii Forums mobile app