Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

Nikiombwaa laki tu hanisikii tenaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mchepuko unamfanya kama mkee
Ni suala la vipaumbele TU,
Kuna mchepuko ukiwa nae hata Nguvu ya kutafuta zaid unaipata maana utajihisi humtendei Haki kwa anavokujali.

Kuna wanawake wanajua kucare mkuu,
Sema TU unabahat mbaya hujakutana nao rikiboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio sura,
Ni matendo tu@joannah

Mchepuko anaandikwa pale anapoonesha Yuko kwenye mahusiano serious kwa upendo wake wa dhati toka moyoni
(yaani kakupenda KABISA)

Na sio yupo pale kwa ajili kutoa huduma ya ngono TU.

Hii ndo kitu imefanya nmetelekeza pagale na Kusitisha kumjengea mama j[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Sasa imebaki Ni bia nyama choma, bia nyamachoma siku ziende?
 
Shida ni hela tu me kuna mzee alipata mafao akajengea mchepuko mwisho wa siku zimeisha akamfukuzaa kama mbwaaaa... Mwingine alimjengea akahama kwa mkewe wa ndoa kabisa akaanza kuishi na mchepuko so haya mambo yapo.
Usipende kuhudumia kwa hela ya mawazo,

Mahusiano yoyote mwanaume Unapaswa kutoa kill Cha ziada na sio kile unachokitengeneza 100%.

Hata kwa mkeo wa ndoa,
Usije kujilaza njaa eti unapambana kujenga ukweni.

Hapa tusimlaumu mchepuko.
Huo Ni upuuzi na ulimbukeni wake binafsi wa mapenzi kumjengea mwanamke yeyote kwa Ela ya unayoitegemea kusurvive kwa mfano Iyo ela ya kustaafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Sasa imebaki Ni bia nyama choma, bia nyamachoma siku ziende?
Hakika,
Hapa Ni namhudumia vile vya msingi kuishi na yeye anatumika tu ilimradi siku ziende mpk pale atakapobadilika.

Akishindwa kubadili hata tukiachana ntakua Sina Cha kupoteza, na yet ndo kapoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaah sasa huyu mzee hela ya pensheni ndo kachezeaa.. shida ni kuwa na mchepuko usioumuduuu[emoji3][emoji3][emoji3] Rikad omomo mkewe tu kamshindaaa bonge la demu mahitaji mengii
Ha ha ha....
Iyo Ni Changamoto sana kuendesha na hisia za mchepuko.

Wana majaribu mengi Sana Hawa[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]Juzi manzi mtumishi balaa anapost mistari muda woteeee... eehe nyie acheni tu
Ha ha ha. ..
Inaonekana wee Ni mzee wa hit& run.

Hupendi kudumu na mwanamke kwasababu ya gharama[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom