rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Ushaurii mwamamke wakw ni smart sana so ukweli wote anaujua yani so kama jamaa ako anampenda mkeo bhasi avunge tu ageuze gia angani ionekane alikuwa anafanya siri ije kuwa Suprise ila MWANAMKE UKWELI WOTE ANAUJUA anamgeukaa tu na kumkazia si unajua mwanaume mwanaume.. ila kama anataka mambo yaende kombo Bhasi azingue kuwa hajui chochote kuhusu hilo jamboo japo yule mzee mwenye kiwanja alizingua sana kupokea hiyo helaaa toka kwa mtu asiemjua... Ugumu pia jamaa kurudishiwa hela itachukia muda labda kama.kiwanja kinajiuzaaa