Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Watakuja kusema kua huyo rafiki yako ndio wewe.
Kama wanamiliki gari waliyopewa zawadi waichome moto.Nina rafiki ambaye jana kufunguka kile alichokuwa anapitia kwenye mahusiano yake, ana mwanamke ambaye anaishi naye huu mwaka wa pili sasa ila mambo yamebadilika tangu mwezi November mwaka jana; mwanamke anaumwa magonjwa ambayo hospitali hayaonekani, anakosa hamu ya kula, kapungua uzito, hedhi yake imekua irregular sana, usiku halali vizuri anaona kama pumzi inambana
Mpaka sasa vimepimwa vipimo vingi na ugonjwa hauonekani (kuanzia kuangalia matatizo ya tezi mpaka cholesterol)
Jamaa yangu anakaribia kuchanganyikiwa
Pole mkuuMtu akifikwa na matatizo akakusimulia huwa ni rahisi kuchukulia poa/kucheka/kukejeli but ngoja yakupate wewe ndio utaona dunia imekuelemea
Pole yake huyo mkuu asikate tamaa MUNGU yupo ndie daktari mkuu, hata me hii wiki mama kaugua sana kiasi cha kuzidiwa kaongezwa maji na damu ila leo kapata nafuu hata kaweza kuongea...
Aende hospital kubwa mf. CCBRT,muhimbili,Bugando,KCMC atapona naamini hilo 100%