Ushauri: Mpenzi wake anaumwa lakini hospitali hawaoni ugonjwa wowote, achukue hatua gani?

Ushauri: Mpenzi wake anaumwa lakini hospitali hawaoni ugonjwa wowote, achukue hatua gani?

Nina rafiki ambaye jana kufunguka kile alichokuwa anapitia kwenye mahusiano yake, ana mwanamke ambaye anaishi naye huu mwaka wa pili sasa ila mambo yamebadilika tangu mwezi November mwaka jana; mwanamke anaumwa magonjwa ambayo hospitali hayaonekani, anakosa hamu ya kula, kapungua uzito, hedhi yake imekua irregular sana, usiku halali vizuri anaona kama pumzi inambana.

Mpaka sasa vimepimwa vipimo vingi na ugonjwa hauonekani (kuanzia kuangalia matatizo ya tezi mpaka cholesterol).

Jamaa yangu anakaribia kuchanganyikiwa

Angemuoa kwanza ndo angechanganyikiwa kihalali. Kwa sasa ni kiherehere kinamchanganya
 
NENDA KAPIME KWENYE HOSPITALI KUBWA ZENYE WATAALAMU NA MASHINE ZA VIPIMO AINA ZOTE.

1. MUHIMBILI
2. AGAKHAN DAR
3.AGAKHAN NAIROBI

HAPO LAZIMA UGONJWA UTAONEKANA TU

achana na vi hospitali vya bei nafuu
 
Back
Top Bottom