Ni kweli,na mimi ilitokea sana kwa X wife wangu ila yeye alikuwa baada ya tendo anawashwa pia na maniiiKwa wajuzi nisaidieni
mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma ,anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida,inafikia hatua tunahairisha kazi
Hili tatizo sio siku moja,ysni ni kils siku tukikutana kimwili
Naombeni wajuzi mnijuze,kama ni tatizo au sio na nifanye nini ili kuliepuka,maana nampenda sana mpenzi angu....
pole jamniiiiiiiiiiiiiiiiNi kweli,na mimi ilitokea sana kwa X wife wangu ila yeye alikuwa baada ya tendo anawashwa pia na maniii
Alikuwa anafurahia mwanzo tu ila baadae anasikia kichechefu kabisa na hataki tena,
Ikawa bora niwahi mimi faster kabla yake,laa sivyo usiku kucha mzungu wa 4.
HaahahàHuko sio kileleni Fazaa
Unajuaa maana ya KIleleni?
Usikutee unamkunjaa kama Judo, unamuumiza mtoto wa watu na hatimaee kupata maumivu ya tumbo afu yale makelele ya kulalamika unasema Kileleni!!!??
He sasa akizimia s majangaMie wangu huwa anazimia akifika juu ya mlima
He he hee, Hizo ni nguvu za giza...Kuna mmoja alifika kileleni alikuwa amekalia juu alinikata vibao kama sita hivi mpk leo sikio langu la kulia limekuwa kama limeingia maji wakati wa kuogelea ukitembea linalia ndi ndi ndi
Pole mkuu nimecheka sana lohKuna mmoja alifika kileleni alikuwa amekalia juu alinikata vibao kama sita hivi mpk leo sikio langu la kulia limekuwa kama limeingia maji wakati wa kuogelea ukitembea linalia ndi ndi ndi
Yoriiiiiiii,... NdiiiKuna mmoja alifika kileleni alikuwa amekalia juu alinikata vibao kama sita hivi mpk leo sikio langu la kulia limekuwa kama limeingia maji wakati wa kuogelea ukitembea linalia ndi ndi ndi
Poleee,siku hizi vpi?Nikwelii mimi ilikuwa natapika au napata hedhi mapema
Umetibu na nini umsaidie mtoa MadaNikwelii mimi ilikuwa natapika au napata hedhi mapema