marahaa1
Member
- Sep 1, 2016
- 68
- 98
Kwa wajuzi nisaidieni,
Mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma, anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida, inafikia hatua tunahairisha kazi.
Hili tatizo sio siku moja, yani ni kila siku tukikutana kimwili
Naombeni wajuzi mnijuze,kama ni tatizo au sio na nifanye nini ili kuliepuka, maana nampenda sana mpenzi wangu.