Uswiss
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 842
- 2,165
Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi.
Jumapili iliyopita nilifanikiwa kumleta maghetoni na kula mzigo kwa mara ya kwanza. Sasa ndugu msomaji huyu mrembo toka aje Jumamapili mpaka leo Ijumaa amegoma kabisa kuondoka kwao.
Nimetumia mbinu zote za kidiplomasia naona inashindika ananiambia ataondoka siku atakayojisikia. Na nikisema nitumie nguvu naona itakua noma kutaibuka makelele hapa na hawa majirani wananiheshimu sana. Sasa wakulungwa wenzangu emu nipeni ushauri hapa nifanye nini? Au niende polisi maana naona ishakua noma.