Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

Hujamfanya hujakoleza ikavimba,tunakimbiaga wenyewe mbona.Mwombe akusindikize unapoenda job akitoka tu funga mlango akilazimisha msukume bora aanguke kuliko aibu inayoelekea kukuta then kalale lodge usiku mmoja tu
Moto nampelekea mwingi tu mpaka anakilimbiliaga kulala sebuleni.. Sema tu nataka nimuondoe kwa amani ili siku nyingine nikimwita aje.. nitakua namalizana nae lodge.
 
Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi

Jumapili iliyopita nilifanikiwa kumleta maghetoni na kula mzigo kwa mara ya kwanza.

Sasa ndugu msomaji huyu mrembo toka aje jumamapili mpaka leo ijumaa amegoma kabisa kuondoka kwao.

Nimetumia mbinu zote za kidiplomasia naona inashindika ananiambia ataondoka siku atakayojisikia.

Na nikisema nitumie nguvu naona itakua noma kutaibuka makelele hapa na hawa majirani wananiheshimu sana.

Sasa wakulungwa wenzangu emu nipeni ushauri hapa nifanye nini? Au niende polisi maana naona ishakua noma.
Mbona simple tu jifanye kama mnatoka out kwenda mahali flani kula msosi Kisha unamtelekeza uko, ww unaenda kulala lodge kesi inakuwa imeisha.
 
Back
Top Bottom