Hiyo basi ni nataka sitaki.Atakuwa anamega kimawengemawenge.With one eye open and the other closed!ππππ
Binti anataka ndoa.Hapendi "kumchezea" kijana wetu.Binti akaze uzi hivyohivyo.πππKm ni chumba kimoja mwambie kuna ndugu yako toka kijijini anakuja kwako,atafikia hapo,mpange mwana mmoja uwe unashinda nae na kulala nae,asiposepa basi atakua na lake jambo
Na uzi wa tatu utakuwa unaelezea maombi ya nauli na jinsi ya kuvuka mipaka ya nchi.πππHiyo basi ni nataka sitaki.
Unataka mtu aondoke na bado unajisevia?
Tutegemee sredi inayofatia ni ya ushauri ameshampa mimba
nilishaijaribu hiyo mkuu.. Akaniambia "hayo ni mapepo sio wewe nitafunga na kuomba kwa ajiri yako"
Moto nampelekea mwingi tu mpaka anakilimbiliaga kulala sebuleni.. Sema tu nataka nimuondoe kwa amani ili siku nyingine nikimwita aje.. nitakua namalizana nae lodge.Hujamfanya hujakoleza ikavimba,tunakimbiaga wenyewe mbona.Mwombe akusindikize unapoenda job akitoka tu funga mlango akilazimisha msukume bora aanguke kuliko aibu inayoelekea kukuta then kalale lodge usiku mmoja tu
au wakati anapiga takombona wakati unamuingiza hukutushirikisha
Mbona simple tu jifanye kama mnatoka out kwenda mahali flani kula msosi Kisha unamtelekeza uko, ww unaenda kulala lodge kesi inakuwa imeisha.Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi
Jumapili iliyopita nilifanikiwa kumleta maghetoni na kula mzigo kwa mara ya kwanza.
Sasa ndugu msomaji huyu mrembo toka aje jumamapili mpaka leo ijumaa amegoma kabisa kuondoka kwao.
Nimetumia mbinu zote za kidiplomasia naona inashindika ananiambia ataondoka siku atakayojisikia.
Na nikisema nitumie nguvu naona itakua noma kutaibuka makelele hapa na hawa majirani wananiheshimu sana.
Sasa wakulungwa wenzangu emu nipeni ushauri hapa nifanye nini? Au niende polisi maana naona ishakua noma.
unaendelea kujisevia au umemkaushia?
Tuanzie hapo.
unaendelea kujisevia au umemkaushia?
Tuanzie hapo.
toka juzi kanuna kuondoka hataki na mzigo hataki kutoa analamika kwa nin namfukuza wakat nilimwambia nampenda..unaendelea kujisevia au umemkaushia?
Tuanzie hapo.
Kusex nae mpaka pawe pakavu akipata mchubuko we usijali endelea kuomba game tu mpaka atasepa mwenyeweAisee!! Hapo kwenye kukoleza na kuvimba panahitajika ufafanuzi kidogo...
Usumbufu huu,daa...kumbe bado unamtaka? Ngoja nikalale mieMoto nampelekea mwingi tu mpaka anakilimbiliaga kulala sebuleni.. Sema tu nataka nimuondoe kwa amani ili siku nyingine nikimwita aje.. nitakua namalizana nae lodge.