Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

hautaki ushauri ila unataka thread iwe na replies nyingi. Replies mbili za mwanzo zilifaa kuzifanyia kazi, anaiba unacheka unadhani watoto wako watakuwa salama kama ataendelea kuwa around.

Kwa upande wangu nina uzoefu wa kukaa na mtoto wa mamdogo wangu ambaye alikuwa amenizidi umri (mamdogo aliwahi sana kupata ujauzito kabla hata hajadika umri wa miaka 18). Kipindi kimoja cha likizo nilienda kwa mamdogo kukaa kwa siku chache, hapo ndipo nilipoona vituko alikuwa anapiga plan za kukwapua mali za duka la mzee fulani pale mtaani kwao, na mara nyingi alifanikiwa kutoka na makopo ya pipi na Big G nashukuru Mungu sikukaa sana mama alikuja kunichukua. Sasa baada ya miaka kupita kuna siku naye alikuja kututembelea nyumbani kwetu, kumbe tulikuwa tunaonana na stranger kabisa. Licha ya kuwa binamu yangu huyu alikuwa mgeni kwa maeneo yale ya kwetu tulipata habari zake za kushinda mtoni kuanzia asubuhi mpaka jioni akiwa anavuta bangi. Kufupisha tu, mama alimpa nauli na vizawadi akitaka akamsalimie mama yake.

Toka kipindi kile mpaka saizi sijawahi kumtafuta kabisa na sijutii kufanya hivyo.👺
 
Mrudishe kwa baba yake, kama shida ni msaada, wewe watumie hela ili akasome huko huko kwa baba yake
 
Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!
Bao la kaka yako ni bao lako!! kenge kabisa usithubutu kujitoa!! kwa statement yako hii wewe unakisununu unamtesa huyo mtoto!! labda na yeyey aje hapa atwambie!! hufai kuwa mlezi jamaa achukue mwanae! wewe si baba bora na itakugharimu!!

Dogo akirudi kwao atatusua fresh kuliko wanao utaenda omba msaada huko siku ukiumwa!
 
Bora lawama kuliko fedheha. Mrudishe Kwa baba yake mara Moja, me nikafikir unalea yatima, kumbe anawazaz.. mpeleke Kwa baba yake yawezkana akabadilika hyko. Mambo mengine hyahitaji gra kikao, Mimi ningefunga Safari hadi Kwa baba Mtu n kumuachia mwanae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…