Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Masters za mzumbe ni uozo mtupu.
Nakushauri nenda chuo kingine lakini Mzumbe ni majanga.
kivipi???
Nimebahatika kufanyakazi na wahitimu wa Mzumbe level ya Masters ni majanga.
Hivi hile skendo ya mzumbe kutumia 'migi' bado hipo? Kuna graduate wa mba mzumbe ofsi yetu ilimrecommend kwenye taasisi moja,alifanya madudu hadi aibu. Kudumisha mahusiano we sent a official apology. Watu wa mzumbe hawadhaminiki.
Kama wewe ni mwanasiasa na unahitaji cheti cha masters kwa ajiri ya kuongeza CV nenda tu mzumbe
2.kama wewe ni mwajiriwa na unakaribia kustaafu hivyo unahitaji cheti cha masters ili kuongeza pensheni yako nenda mzumbe
3.kama kuna nafasi ya kazi(mchongo) na anahitajika masters holder na hiyo position haina interview nenda mzumbe
migi ndo nini tena???
Mkuu uozo kivipi, unaweza kufunguka??