Ushauri: Msc Economics and Finance for Development..Mzumbe University

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,296
Reaction score
6,492
Nataka niisome hiyo kozi mwaka huu...ushauri wenu wadau je iko poa?? Nimeona kama wana collaborate na Bradford university, reputation yake ikojee???

asanten
 
Masters za mzumbe ni uozo mtupu.
 
Nakushauri nenda chuo kingine lakini Mzumbe ni majanga.
 
Hawa watu wanaongea ambalo hawalijui,kapige shule alafu utashuhudia uzuri wake
 
Hivi hile skendo ya mzumbe kutumia 'migi' bado hipo? Kuna graduate wa mba mzumbe ofsi yetu ilimrecommend kwenye taasisi moja,alifanya madudu hadi aibu. Kudumisha mahusiano we sent a official apology. Watu wa mzumbe hawadhaminiki.
 
migi ndo nini tena???
 
aise hata kuna mtu namfahamu kamalza pale had mwenyewe anaji shangaa nenda tu chuo kingne aise
 
Kama wewe ni mwanasiasa na unahitaji cheti cha masters kwa ajiri ya kuongeza CV nenda tu mzumbe
2.kama wewe ni mwajiriwa na unakaribia kustaafu hivyo unahitaji cheti cha masters ili kuongeza pensheni yako nenda mzumbe
3.kama kuna nafasi ya kazi(mchongo) na anahitajika masters holder na hiyo position haina interview nenda mzumbe
 
Hahahahaaaaa...namba tatu ni noumaaaa sana, ila ndio ukweli wenyewe huo
 
Ukweli ni Huu.kama uwezo wako wa kushika Mambo na kuelewa ni Mdogo.Nakushauli usiende pale....OVER
 
Kama wewe ni mwanasiasa na unahitaji cheti cha masters kwa ajiri ya kuongeza CV nenda tu mzumbe
2.kama wewe ni mwajiriwa na unakaribia kustaafu hivyo unahitaji cheti cha masters ili kuongeza pensheni yako nenda mzumbe
3.kama kuna nafasi ya kazi(mchongo) na anahitajika masters holder na hiyo position haina interview nenda mzumbe

:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Back
Top Bottom