Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
Wakuu habari za wakati huu, i hope mko wazima wa afya na mlio dhaifu basi Mungu awatie nguvu.
Niende direct kwenye hoja yangu. Nimekua very broke kwa kipindi cha miezi michache tangu kibarua changu kipeperushwe na issue ya Corona, sasa nimepata kamtaji ka laki moja ninako hapa. Nahitajo ushauri ndugu hasa kwa wazoefu wa biashara za mitaji midogo. Niwe muwazi sijawahi kufanya biashara ndogo ndogo, ila usijari kuhussu strength zangu, ninaweza kufanya kikamiliu, alimradi inaniingizia vichenji chenji its fine kwangu.
Manake hali si hali mtaani, hapa nina madogo wawili wa kike wanantegemea na wako chuo natakiwa niwalipie ada before end of December, sijakata tamaa bado najua Mungu yupo pamoja na mimi, basi mwenye wazo zuri linalofaa kuanza hata kesho basi karibu kwa maoni yako.
Pia naosha magari jamani, kama una magari nyumbani kwako au kwenye ofisi yako basi unaweza kuniungisha mdogo wenu nakuja nakuoshea gari yako, naipiga polish, wax kwa pesa kidogo tu.
Nakaribisha michango yenu wadau katika utaftaji.