hello JF nina hicho kiasi na ninataka faida ya angalau buku 20 kwa siku kama faida mradi gani utafaa..?
nunua bodaboda uendeshe mwenyewe.
hiyo sio return bali ni sawa na mtu anayehifadi pesa kwenye kibubu akawa anachota kila siku mpaka pesa aliyoweka inakamilka!
vipi kuhusu saloon ya wanaume hata hizi za kigumu za 1500 kwa kichwa kwa saloon za kiswazi. au Internet cafe ya computer nne au stationery hata ya kutoa photocopy tu. vipi hapo jamani. mimi nina M3 bado natafakakli kati ya hizo niende na ipi? boda boda big NO. Boda boda = booked death
Kuna uzi niliandika kuhusu b'ness ya Playstation za watoto
Kama hauogopi jamii ikuchukie sababu watoto wao wanatoroka shule na kuiba pesa kuja kucheza hapo that is the way to go...
Zaidi ya hapo angalia location yako na mahitaji ya sehemu husika; biashara nyingi za Bongo ni za Uchuuzi angalia demand ni nini tafuta sehemu ya kuweza kupata hio product na uza kwa profit margin.., Issue sio biashara gani ya kufanya issue ni wewe unaweza kufanya biashara gani kwa ubora kuliko competition au sawa na competition
vipi kuhusu saloon ya wanaume hata hizi za kigumu za 1500 kwa kichwa kwa saloon za kiswazi. au Internet cafe ya computer nne au stationery hata ya kutoa photocopy tu. vipi hapo jamani. mimi nina M3 bado natafakakli kati ya hizo niende na ipi? boda boda big NO. Boda boda = booked death
wadau nisaidieni elimu ya kuandaa miskaki(mishkaki) yenye radha nzur
ya nyama ya ng'ombe na jinsi ya kuandaa kachumbali nina kibanda cha chips lakini ujuz sina na eneo langu ni la ushindani xana nisaidieni jamani wana jf
tafuta kibanda uza chips