Ushauri: Mtaji wa mil 2 na return ya faida elfu ishirini kwa siku

Ushauri: Mtaji wa mil 2 na return ya faida elfu ishirini kwa siku

JtheTATA

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
333
Reaction score
78
hello JF nina hicho kiasi na ninataka faida ya angalau buku 20 kwa siku kama faida mradi gani utafaa..?
 
hiyo sio return bali ni sawa na mtu anayehifadi pesa kwenye kibubu akawa anachota kila siku mpaka pesa aliyoweka inakamilka!

bodaboda ikidumu mwaka mmoja, kwa wastani wa pato la 10,000/= kwa siku, faida itakuwa isiyopungua 6000/= kwa siku.
 
Mtaji wa Milioni 2 ndani ya mwezi uingize laki sita?
Hapa ni Bodaboda tena kwa mbinde uendeshe mwenyewe roho mkononi.
Fungua mabanda ya chips,maana moja huwezi kupata pesa hiyo kwa siku.Ni pesa nyingi sana unayotaka kama faida.

Pia nakushauri sana kwa maisha ya leo usi focus maendeleo ya muda mfupi,weka malengo yamuda mrefu hata kama yana faida ya elfu tano kwa siku,kuliko kuweka malengo ya muda mfupi kwa kutaka faida kubwa ya haraka na mara nyingi na mtaji wake pia unakufa haraka,maana unakuwa hujajipanga na changamoto za kibiashara psychologically.

kwa ushauri wangu,target milioni mbili iingize at least elfu kumi kwa siku.Zaidi ya hapo uta force vitu visivyowezekana tu.Na kama umezikopa kwa malengo ya kulipa kwa muda mfupi basi ni majanga matupu.
 
vipi kuhusu saloon ya wanaume hata hizi za kigumu za 1500 kwa kichwa kwa saloon za kiswazi. au Internet cafe ya computer nne au stationery hata ya kutoa photocopy tu. vipi hapo jamani. mimi nina M3 bado natafakakli kati ya hizo niende na ipi? boda boda big NO. Boda boda = booked death
 
Kuna uzi niliandika kuhusu b'ness ya Playstation za watoto
 
Kuna uzi niliandika kuhusu b'ness ya Playstation za watoto

Kama hauogopi jamii ikuchukie sababu watoto wao wanatoroka shule na kuiba pesa kuja kucheza hapo that is the way to go...

Zaidi ya hapo angalia location yako na mahitaji ya sehemu husika; biashara nyingi za Bongo ni za Uchuuzi angalia demand ni nini tafuta sehemu ya kuweza kupata hio product na uza kwa profit margin.., Issue sio biashara gani ya kufanya issue ni wewe unaweza kufanya biashara gani kwa ubora kuliko competition au sawa na competition
 
Inaregemea ni Playstation 3 au 2 km ni 3 unachezesha Sehemu karibu na Hostel za Wanafunzi na iko Nzuri sio Childish kama Pa2

All in all unapaswa ujue mida ya kufungua biashara yako na kufunga
 
vipi kuhusu saloon ya wanaume hata hizi za kigumu za 1500 kwa kichwa kwa saloon za kiswazi. au Internet cafe ya computer nne au stationery hata ya kutoa photocopy tu. vipi hapo jamani. mimi nina M3 bado natafakakli kati ya hizo niende na ipi? boda boda big NO. Boda boda = booked death

hakuna kitu hapo.
 
Wadau nisaidieni elimu ya kuandaa miskaki(mishkaki) yenye radha nzur
ya nyama ya ng'ombe na jinsi ya kuandaa kachumbali nina kibanda cha chips lakini ujuz sina na eneo langu ni la ushindani xana nisaidieni jamani wana jf
 
wadau nisaidieni elimu ya kuandaa miskaki(mishkaki) yenye radha nzur
ya nyama ya ng'ombe na jinsi ya kuandaa kachumbali nina kibanda cha chips lakini ujuz sina na eneo langu ni la ushindani xana nisaidieni jamani wana jf

please anzisha thread yako ushauriwe: Nakushauri uipe heading ifuatayo:[ushauri namna ya kuandaa mishikaki na kachumbali yenye mvuto kwa walaji] na hakika utapata ushauri hadi toka kwa chefs wa 5* hotels.
 
Chipsiee! Tena ka atapata sokoni itakuwa bomba sana! ASISAHAU NA UNZISHA KIBANDA CHA KUUZA KITIMOTO KWENYE BAR ILIYOKUA BUSY ALL TIME ATAPATA HADI 30,000 KWA SIKU

ONYO: HESHIMU IMANI YAKO BIASHARA HII USFANYE KA WEWE NI MUSLIM AMA ADVENTIST SABBTH MAANA UTATENGWA NA WAAINI WENZIO.

tafuta kibanda uza chips
 
Hiii dunia kazi.Umeona tatizo ulilonalo tunalo wengi. Hapo ndio wenye mawazo wanapojiitaga consultants.Mungu atakujalia.
 
asanten wadau mlio changia hapa na mlio pm pesa nimeiweka kwenye biashara ya ndg yangu kwa return ya sh 10000 kwa siku
 
Back
Top Bottom