Yupo anaendelea na mazoezi ila mpaka sasa hawezi kujitegemea,hawezi kaa peke yake,aliugua manjano siku 2 baada ya kuzaliwa,pia alizaliwa kwa shida kidogo maana hakulia moja kwa moja,kiakili yupo vzr ila shida ni viungo ndo havikomai.Nisaidieni japo tiba mbadala