USHAURI:Mtoto hawezi kukaa mwaka sasa

USHAURI:Mtoto hawezi kukaa mwaka sasa

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Yupo anaendelea na mazoezi ila mpaka sasa hawezi kujitegemea,hawezi kaa peke yake,aliugua manjano siku 2 baada ya kuzaliwa,pia alizaliwa kwa shida kidogo maana hakulia moja kwa moja,kiakili yupo vzr ila shida ni viungo ndo havikomai.Nisaidieni japo tiba mbadala
 
kiakili yupo vizuri!How?
Nahisi ana tatizo ubongoni toka kuzaliwa,may be CP kutokana na asphyxia
 
Back
Top Bottom