Wetu alimeza hio hamsini toka mwezi wa pili hakupelekwa sehemu yoyote !na dogo yuko poa tyu sasa cjui hako kahela kalitoka au bado kamoPole sana, wa kwetu aliwahi kumeza coin ya 50, tulimpeleka hospitali, ilitoka kesho yake asubuhi. Wahi na wewe hospitali maana inaweza kuleta complications.
Itakuwa ilshatoka kwa njia ya haja kubwaWetu alimeza hio hamsini toka mwezi wa pili hakupelekwa sehemu yoyote !na dogo yuko poa tyu sasa cjui hako kahela kalitoka au bado kamo
acha uongo
Apige msosi wa kutosha itatoka tuuuu, baada ya hapo apatiwe dawa ya kusafisha tumbo, coz shilingi inaweza kuwa na kutu, so ikitoka apatiwe dawa.Mtoto kameza Sh mia mbili,je inaeza kutoka au,msaada jamani nifanyejee
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Polen sana vip hali yake sasa?Hata sisi mtoto wa Jirani yetu kameza shilingi mia wiki sasa imeisha mwanzoni tulimpeleka hospitari maana ilikuwa imegoma kwenye koo anashindwa kumeza chakula madakitari walipojitahidi kutaka kuiitoa ndio kwanza ikawa inashuka mpaka tumboni wakamua kuacha na kushauri apewe vyakula laini ili ikwezekana aitoe hiyo shilingi kwa njia ya haja kubwa mpaka sasa tunasubiria.