Ushauri: Mtoto kameza shilingi mia mbili

Ushauri: Mtoto kameza shilingi mia mbili

Pole sana, wa kwetu aliwahi kumeza coin ya 50, tulimpeleka hospitali, ilitoka kesho yake asubuhi. Wahi na wewe hospitali maana inaweza kuleta complications.
Wetu alimeza hio hamsini toka mwezi wa pili hakupelekwa sehemu yoyote !na dogo yuko poa tyu sasa cjui hako kahela kalitoka au bado kamo

acha uongo
 
Wetu alimeza hio hamsini toka mwezi wa pili hakupelekwa sehemu yoyote !na dogo yuko poa tyu sasa cjui hako kahela kalitoka au bado kamo

acha uongo
Itakuwa ilshatoka kwa njia ya haja kubwa
 
miA mbili unashtuka ivo kk ingekua buku 10 acha uoga ww

sent from aifoni seveni plasi
 
Hata sisi mtoto wa Jirani yetu kameza shilingi mia wiki sasa imeisha mwanzoni tulimpeleka hospitari maana ilikuwa imegoma kwenye koo anashindwa kumeza chakula madakitari walipojitahidi kutaka kuiitoa ndio kwanza ikawa inashuka mpaka tumboni wakamua kuacha na kushauri apewe vyakula laini ili ikwezekana aitoe hiyo shilingi kwa njia ya haja kubwa mpaka sasa tunasubiria.
Polen sana vip hali yake sasa?
 
Back
Top Bottom