90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 421
- 502
Wakuu habari zenu.
Najua kuna madr humu, nahitaji ushauri wenu, cas sijui ethics au pricedures za wataalamu wa afya nisije shauri vibaya.
kuna kijana tunafahamiana ni HIV+, japo tofauti na ndugu zake na watu wa karibu sana wengine hawajui, hata ofisini kwake hawajui.Ameomba ushauri, ameniambia anatakiwa afanyiwe surgery sababu alipata tatizo flani akalazwa.
Sasa amenambia anaogopa sana sababu madr hio hospital anayoenda kufanyiwa surgery lazima watampima kwanza damu yake, sababu ni surgery kubwa, anahofu sana kwamba maybe,wakiona ni hiv+ wataogopa kumgusa asije waambukiza, wanaweza fanya kwa uoga na harakaharaka ovyo ovyo tu afe nk.Hebu madr mtuambie, mtu akiwa hiv+ anaweza kufanyiwa surgery vizuri tu bila shida? au afanyeje before surgery?