Ushauri muhimu: Serikali izime kabisa mtandao wa twitter, unatumika vibaya kipindi hiki tunapopambana na Covid 19

We ni mjinga na haujui lolote kuhusu VPN. VPN haziwezi kufungiwa mbuzi wewe, kama China na U.S.A wameshinwa kudhibiti matumizi ya VPN vipi Chatoland ndo mtaweza ?
 
Corona ilishakuua wewe au ndugu yako?
 
Hujafiwa wewe. Si wengine Corona imepukutisha ndugu zetu kinoma. Since January to date nimezika ndugu zangu sita including baba yangu mzazi
 
Hujafiwa wewe. Si wengine Corona imepukutisha ndugu zetu kinoma. Since January to date nimezika ndugu zangu sita including baba yangu mzazi
Tuwekee vyeti vya kifo kuthibitisha ndugu zako wamekufa kwa Covid 19.
 
Mpaka natamani nikutukane, ila huyu Mungu aliyeruhusu janga hili kulamba ndugu zangu, na afanye pia kwako na kwa jamaa zako. Ehh Mungu sikia dua hiii, Amina.
Wewe utakuwa mchawi, mlozi mkubwa.
 
yaani ilikua nikiingia twitter najihisi kuanza kuumwa, ilifikia kipindi nika-uninstall app ya twitter kwenye simu kuepuka ujinga ambao upo kule..

Naunga mkono hoja.
 
Kwa taarifa yako ni kuwa ile ban iliyokuwepo haipo kwa sasa kuna watu wanaipata twitter bila VPN na pia Jiwe na Msigwa si wana account twitter ! nao wazifunge au?
 
Pole Sana na famlia yako, may her soul rest in peace

Kwakwel nkskia issue ya COVD 19 vs
kibnge nakosa raha kabsa.
Rafiki kama wewe ni bonge jilinde sana,halafu Corona ipo zaidi maeneo ya mahospitalini kuliko maeneo mengine yoyote yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…