Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Law of Nature...

You can not Have your Cake and Eat it too....
 
Nyooolo kwa nini ulivyoanza kuzaa nae hukumwambia akutengee mali za wanae kisirisiri?
Sasa ujinga utakuponza na huyo mme soon anakuacha.

Funga domo lako kaa ulilie ujinga wako ujutie moyoni.

Aisee kwahiyo watoto majina ni ya mmeo au ya mchepuko? Hivi unajua vita unayoiandaa? So mnaenda kupima DNA?

Li mme lako nalo boya ina maana haoni hao watoto wasivyomfanana?

Jinadanye uje mahakamani tukunyooshe na aibu juu.
 
👉👉👉Mbona rahisi sana hii,cha kufanya omba talaka Kwa mumeo uliye naye Sasa Ivi baada ya hàpo Nenda mahakamani kudai urithi Kwa kila baba wa mwanao,ukianza na DANGA lako marehemu,kama utakuwa tayari njoo pm mim ni mwanasheria mzoefu
 
Wanawake kuna mda tunawatetea ila kwa hili we dada hapana. Yani ulivokua unazaa nae kama unafyatua tofali ili iweje? Ulijua atakuoa au?? But women can be so stupid🙌🏼

Moto wa milele ukuangazie kwakweli. Hujui mkewe ataumia kiasi gani.

Na wanaume huwa mnahangaika nini?
 
dronedrake njoo uone malaya lililokubuhu huku 😃 daah nyie wanawake ni nyoka asee 🤮🤮🤮🤮
 
Wanaume tuna mitihani aisee..unazaa na hawara kisa tu ana pesa..so kwa wakati mmoja ulikuwa unatombwa na wanaume wawili??

Ila wanaume tunalaumiwa sana lkn wanawake ni noma aise

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ah ndio hivyo wanawake wao wanaangalia hela tuu ilipo. Wee jichanganye eti napendwa utashangaa na roho yako.

Mtu roho yake inapenda tall dark and handsome lakini kwenye pesa yupo tayari kudate na andunje🤣🤣🤣🤣
 
Pole sAna
 
shetani mkubwa we acha tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…