Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alikuwa anajitomba sawaa unaweza kumlaumu mwanamke peke yake,,,, ila kama umejua alikuwa anatombwa basi jibu utakuwa nalo tayari """ nami japo ni me lakin mzigo usilalie kwa wanawake pekeeWanaume tuna mitihani aisee..unazaa na hawara kisa tu ana pesa..so kwa wakati mmoja ulikuwa unatombwa na wanaume wawili??
Ila wanaume tunalaumiwa sana lkn wanawake ni noma aise
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16] kama mtu hamjui Idd atajikuta anaamini haya makituHivi siku hizi mbona mahadithi ya idd makengo wa insta yamejaa huu.... [emoji57][emoji57][emoji57]
Anapiga hela mjini hapa...na amewapata kwelikweli[emoji16][emoji16] kama mtu hamjui Idd atajikuta anaamini haya makitu
We got you!Dear men,!kwa ushauri , mwanamke akikwambia ana mtoto wako hata kama ni mkeo..Kafanye tu DNA kwanza. Bei ni 300k ya vipimo(100k @ mama,baba na mtoto)
Case kama hizi ni nyingi sana, kuna mdada alitoa mimba ya mumewe akambebea mchepuko..Just Imagine
True storyIddi Makengo aliyeandika/tunga story anasemaje?
Tuanzie hapo kwanza.
Wanaume tuna kazi kweli Mungu atusaidie yani mwika yote unalea watoto ukijua ni wako kumbe unalea mbegu ya mtu dah! inauma sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shida, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa,
Kwakuwa kupindi hicho ndiyo nilikua nimeanza mahusiano na mume wangu nilibambikizia mimba na akanioa. Baada ya kuolewa yule Baba alirudi akaomba msamaha na kusema yuko tayari kuhudumia mwanae hata kama atatumia jina la mume wangu.
Basi nilimkubalia na tangu kipindi hicho alikua anahudumia mwanae kwa kila kitu. Kwakua alikua ananijali na kipato chake ni kikubwa basi nilijikuta narudiana naye, nikabeba mimba yake ya pili, nilimuambia mume wangu ni yake naye akawa anahudumia ila bado yule baba aleindelea kujali wanae mopaka kuwasomesha,
Mume wangu kipato ni cha kawaida ila mimi nafanya kazi pia, anajua nchukua mikopo kwaajili ya ada lakini ukweli Baba yao ndiyo anawasomesha. Niliamua kumazalia mume wangu mtoto mmoja ambaye ndiyo mwanangu wa tatu, lakini mtoto wangu wa nne ni wa yule Baba.
Baadahi ya ndugu zake alishawatambulisha na wanajua watopto wao kwani nilishawapeleka kwa Dada yao. Mwaka jana alianza kuumwa na mwezi huu mwanzoni alifariki dunia. Nilienda kwenye msiba kama watu wengine,
Sababu ya kuja kwako ni hivi, Baba wa wanangu kaacha mtoto mmoja tu na mke wake, lakini ana mali nyingi sana, ana nyumba 9, magari ya mizigo zaidi ya kumi na vitu vingi.
Nimefuatilia na kugundua kuwa hakuacha wosia inamaana mali zake nyingi zimebaki kwa mwanae aliyezaa na mke wake kwani ndugu nao wana mali zao hawhaangaiki naye. Natamani kwenda kudai haki za wanangu kwani kwakua dada yao ananifahamu na anawafgahamu watoto wa Kaka yake naamini nitapata.
Hofu yangu ni kama huyo mke wake atakataa na kusema hanitambui, nahofia kama ikiwa kwenda mahakamani labda mume wangu atajua. Kusema kweli nimechanganyikiwa, ndoa naitaka lakini mnikiwaza haki za wanangu natamani kwend ahata mahakamani, mimi ndiyo napaswa kupata kikubwa kwani nimemzalia watoto wa 3 wakati mke wake ana mmoja tu!