Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Kwa hiyo ukajua utamaliza umaskini wako na wa ukoo wenu Kwa kutegesha mimba na mume wa mtu Kwa kulenga mali zake?
 
Wa moja ni wa moja tu hata akijitahidi vipi kuvaa ya pili Kwa kuipandisha juu ikifika magotini inashika chini puuu Na kubaki moja ile ile [emoji108][emoji108]
 
Kupata majaliwa !

Mwenyewe ukafanya hila kujizalisha ufanye watoto vitega uchumi [emoji3][emoji3]

Kumbe wapi?!

Ukute umemroga sana yule Mwanaume na mkewe ndio maana yeye Kazaa mtoto mmoja tu!

Moyo wako umejaa hila na uovu mkubwa sana!
 
Huko mjini wanawaendekeza sana sie huku kijijini hatunaga masihara!

Tunafanya kweli!
 
......Tamaa inaleta mauti, tamaa inaua, tamaa inaponza,........ Mtu unawezaje kumbambikiza mtoto mwanaume..... Nyie wanawake wenzangu acheni UMALAYA hii inatudhalilisha na kutushusha thamani, kila mtu atafute pesa yake[emoji34]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tuna mitihani aisee..unazaa na hawara kisa tu ana pesa..so kwa wakati mmoja ulikuwa unatombwa na wanaume wawili??

Ila wanaume tunalaumiwa sana lkn wanawake ni noma aise

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama alikuwa anajitomba sawaa unaweza kumlaumu mwanamke peke yake,,,, ila kama umejua alikuwa anatombwa basi jibu utakuwa nalo tayari """ nami japo ni me lakin mzigo usilalie kwa wanawake pekee
 
Hakika wewe ni mama wa shetani-naona unatafuta mauti ya kihisia kwa kizazi chako.
 
Hivi siku hizi mbona mahadithi ya idd makengo wa insta yamejaa huu.... [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Dear men,!kwa ushauri , mwanamke akikwambia ana mtoto wako hata kama ni mkeo..Kafanye tu DNA kwanza. Bei ni 300k ya vipimo(100k @ mama,baba na mtoto)

Case kama hizi ni nyingi sana, kuna mdada alitoa mimba ya mumewe akambebea mchepuko..Just Imagine
We got you!
 
Nakuombea ufe kifo kibaya mwanamke nyoka mkubwa sana, tena ufe mapema.
Maana uliyomtendea mumeo ni zaid ya ushetani
 
Jichagulie tusi..

Ndio niendeleee kukushauri
 
Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shida, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa,

Kwakuwa kupindi hicho ndiyo nilikua nimeanza mahusiano na mume wangu nilibambikizia mimba na akanioa. Baada ya kuolewa yule Baba alirudi akaomba msamaha na kusema yuko tayari kuhudumia mwanae hata kama atatumia jina la mume wangu.

Basi nilimkubalia na tangu kipindi hicho alikua anahudumia mwanae kwa kila kitu. Kwakua alikua ananijali na kipato chake ni kikubwa basi nilijikuta narudiana naye, nikabeba mimba yake ya pili, nilimuambia mume wangu ni yake naye akawa anahudumia ila bado yule baba aleindelea kujali wanae mopaka kuwasomesha,

Mume wangu kipato ni cha kawaida ila mimi nafanya kazi pia, anajua nchukua mikopo kwaajili ya ada lakini ukweli Baba yao ndiyo anawasomesha. Niliamua kumazalia mume wangu mtoto mmoja ambaye ndiyo mwanangu wa tatu, lakini mtoto wangu wa nne ni wa yule Baba.

Baadahi ya ndugu zake alishawatambulisha na wanajua watopto wao kwani nilishawapeleka kwa Dada yao. Mwaka jana alianza kuumwa na mwezi huu mwanzoni alifariki dunia. Nilienda kwenye msiba kama watu wengine,

Sababu ya kuja kwako ni hivi, Baba wa wanangu kaacha mtoto mmoja tu na mke wake, lakini ana mali nyingi sana, ana nyumba 9, magari ya mizigo zaidi ya kumi na vitu vingi.

Nimefuatilia na kugundua kuwa hakuacha wosia inamaana mali zake nyingi zimebaki kwa mwanae aliyezaa na mke wake kwani ndugu nao wana mali zao hawhaangaiki naye. Natamani kwenda kudai haki za wanangu kwani kwakua dada yao ananifahamu na anawafgahamu watoto wa Kaka yake naamini nitapata.

Hofu yangu ni kama huyo mke wake atakataa na kusema hanitambui, nahofia kama ikiwa kwenda mahakamani labda mume wangu atajua. Kusema kweli nimechanganyikiwa, ndoa naitaka lakini mnikiwaza haki za wanangu natamani kwend ahata mahakamani, mimi ndiyo napaswa kupata kikubwa kwani nimemzalia watoto wa 3 wakati mke wake ana mmoja tu!
Wanaume tuna kazi kweli Mungu atusaidie yani mwika yote unalea watoto ukijua ni wako kumbe unalea mbegu ya mtu dah! inauma sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwahiyo kuna njemba anajisifu anawatoto wanne kumbe kaambulia mmoja,hahah nacheka kama mazuri ulipenda pesa na ndoa sasa vyote utavikosa
 
Aisee..! Wanawake ni mafala sana.
Kuna umuhimu wa kuhakikisha uhalali wa hawa watoto watatu niliyozaa na huyu mwanamke kwa kupima DNA ya kila mtoto kimyakimya.
Bora nilee yatima kuliko mtoto/watoto wa wasaliti.
 
Back
Top Bottom