Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Hakuna Siri boss ndoa yako lazima itaanguka
 
Kichefuchefu wewe.

Hakika hili uliloandika hapa kama siyo hadithi ya kutunga basi soon litafika kwenye dawati la mumeo kisha utakuja kusimulia hapa namna sheria itakavyokushughilisha
 
mfutwa1 hii simulizi kama ni halisi basi inatofatiana pakubwa na hizi mada zako nyingine


Naweza kujenga 2 vyumba viwili vya kulala (bedroom) kwa Tsh. 2M




Natafuta gari mpya



Naomba kujuzwa gharama za kujenga chumba cha matope Tanga
 
Kwa maelezo yako hayo naamini wewe si muislamu.Umefanya matendo mabaya ya kuzini ukiwa kwenye ndoa na hadaa.
Kwa sababu huna cheti cha ndoa na huyo uliyemzalia watoto huwezi kudai chochote. Kwa utaratibu wa kiislamu hao watoto hata kama aliyekupa mimba ni mtu mwengine wanakuwa ni watoto wa huyo mume anayetambulika na hasa kwa vile mpaka leo hajawatilia shaka na kudai uchunguzi.Wewe utahukumiwa kwa maovu yako na yeye mume wako atahukumiwa kwa uzembe na kukosa wivu kiasi kwamba alikuwacha utoke uende kwa mwanamme mwengine bila hata kukutilia shaka.
Siku akipata fununu na kuanza kuwakana watakuwa ni watoto wako wa zina na yeye atabaki na huyo mmoja tu.
 
Hii stori ni ya kutunga, lkn if ingekuwa ni kweli watoto wangepata haki zao ila sio wewe.

Uwa kinacho angaliwa ni vyeti vya kuzaliwa, na ngoma ikiwa ngumu DNA test uchukua nafasi yake.

Mda huo ndoa yako tayari ushaiweka matatani, ulikuwa na mpango mzuri kwa tycoon bt akili ndo hauku aply, badala yake ulitanguliza mbususu.

Kumiliki sehemu ya mali, ulitakiwa umkabidhi watoto, na watoto wasajiiwe kwa ubini yake ok
 
Tunaposema kataa ndoa mda mwingne eleweni tu.
 
Baada ya kusoma comments na kujiridhisha kidogo akili yangu imekaa sawa, ila nimekwazika sana na hii simulizi.
 
Hv bado upo au ulishakufa!!??
mwanamke mshenzi sana ww. Tamaa zimakujaa mpaka ......oni
 
Asitupotezee muda kumbe ni mtunzi wa visa.Angekuwa na mume asingeuliza gharama za kujenga nyumba ya matope mara ya chumba kimoja.
Ngoja niiripoti kwa moderator aifutilie mbali kuokoa muda wetu.
 
Hata ikiwa story yenye ukweli au isiyo na ukweli... Wanaume tuna hali ngumu sana! 😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…