Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Hizi ndizo akili za wanawake
 
Acha tamaa, wanawake kama nyie mbingu mtaisikia tuu bombani, kweli mume wa ndoa mtoto mmoja na hawara watoto 3 khaaaah!!!
 
Tamaa mbele,Mauti nyuma! Gunia mbili za mkaa zinakuhusu,wwe endelea na huo ujinga wako! Na ukute hata yule Mtoto mmoja anaekwenda kurithi hizo Mali siyo Mtoto wake halisi! Wanawake mnajuwa kuyakoroga,lakini kuyanywa mnaogopa!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kusema kweli nimechanganyikiwa, ndoa naitaka lakini mnikiwaza haki za wanangu natamani kwend ahata mahakamani, mimi ndiyo napaswa kupata kikubwa kwani nimemzalia watoto wa 3 wakati mke wake ana mmoja tu

Uchu wa Mali unakutoa mate. Pia inaonekana wewe ni mwanamke wa ivyo Sana. Unazidi kutupa SoMo wanaume. Wewe una uhakika gani ukipewa hizo Mali utaishi nazo miaka mingapi.

Yaani inaonekana ulikuwepo kwake kisa Cha Mali hakuwa na mapenzi naye.eti mie ndie nastahihili kupata kingi. Vunja ndoa wapeleke watt kwa ndugu zake.

Yaani aisee aliyekupa naye anajua kuwa akaoa kweli mpaka machozi ujue na hasira. Kiufupi ulikuwa unajiuza na bado akitokea mwenye Mali zaidi utamzalia. Bora ungekuwa Kama akina Zali unamtafuta mwanaume unamzalia anakujengea unaachana naye. Tena unacheki mwingine.

Hao watt na huyo mme wako wa ndoa kwani una uhakika hata wewe ulizaliwa kwa njia hizohizo na ndio Mana umeendeleza mbegu kuipanda
 
Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Vitabu vyote vya dini vimekataza uzinzi na uasherati.

Unadai nini sasa, shenzy taipu. Umelokoroga ulinywe mwenyewe, pambaf.
 
Hii tabia uliichukua kwa mama yako au bibi yako? Sio kwa uzinzi huu. Haya nenda kamroge sasa huyo mke wake afe uchukue mali maana mashetani kama nyie hamkosi plan B

Na huyo dada yake mtashirikiana ila mgawane mali sio. Eti na dada yake anawajua watoto bollocks. Wewe tengeneza mbinu zako ila na Mungu kapanga yake

Unastahili kufa tu wewe maana una tamaa za kishetani sana
Huu uzi umenikera mnisamehe tu
 

Hawa adhabu yao ni kupigwa mpaka kufa shenzi kabisa
 
Unazidi kuongeza dhambi ujue....yan sijui dunia ya sasa wanawake tumekuwaje ...kubambikizia watoto ndo imekuwa deal aisee
ila hii dhambi ni kubwa mno jamani kumsingizia mtu mtoto, si bora kuitoa tu....hapana asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…