Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Daah! Wanawake ni mashetani, sssa wewe na shetani mna tofauti gani?
 
Dada hayo ndo malipo ya usaliti, ukisikia karma ndo hiyo. Kwa kua ulizaa kwa matamania ya pesa ulisha kula haki yako na ya wanao. Pole
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Ndio maana pesa yangu namalizia Bar sitaki kuacha ugomvi duniani siku nikioondoka.
 
Yani ulime kwenye shamba la mtu udai ni haki yako,
 
Sidhani kama kweli kuna mwanamke mjinga kiasi hiki.
Tatizo siyo mke wa mtu kuzaa na mume wa mwanamke mwingine bali kutamani kurithi mali za huyo mume wa mtu angali yeye ni mke wa mtu mwingine.

Hii ni habari ya kutunga au una kichaa mleta mada. Tamaa itakuuwa.
 
"mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono miwili"
 
Nakusihi acha tamaa maana itakuumbua,na kabla ya kwenda kudai hizo unazoita haki za wanao jiulize kwanza hao watoto umewasajili kwa ubini wa nani,ukipata jibu nenda kadai au kaa kwa kutulia maisha yaende
Ahsante kwa komenti hii mkuu.

Tamaa mbele mauti nyuma!
 
Wewe ni shetani.
 
Wakati unaendelea kumzalia.... Kwa nini hukuhakikisha una kitu tangible kukusaidia malezi ya hao watoto toka kwa huyo mchepukoz enzi za uhai wake??

Kwa nini hukuomba hata myumba 1 au 2 ziwe kwa ajili ya kukusaidia ada za hao watoto??

Wewe ulikuwa unafurahia Mtarimbo pekee??
 
Huu ndio unaitwaga 'mshahara wa dhambi'.
 
Kumbe wapo wanaomzidi huyu aliyefiwa kwa mambo ya ovyo!!
 
Sasa umefika wakati wa kupitisha sheria ya kupima DNA kufahamu baba halisi - kibaiolojia wa mtoto.
 
Alafu Kuna mpumbavu mmoja anakuja eti ananishauri nioe. ?
Nyang'au kama hizi ndio ukaishi nazo ndani hizi !!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…