Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

[emoji478]
Tatizo haina kitafunwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu ajili ziko mbili watoto watatu wote nje halafu bado unataka Tena uende ukadai mirathi ili upate pakubwa kuliko mtoto na mke wa ndoa dada hizo Mali kachuma na mke wake wa ndoa ww km marehemu hakukukabidhi chako mapema ndio imetoka hiyo hata uende mahakamani utajidhalilisha bure huo ukoo ulio kwny vyeti vya wanao ndio baba hao halisi nawe pambana na mumeo ili muache urithi kwa watoto wenu
 
Mimi sikulaumu kwa sababu wewe ni binadamu usie mkamilifu kama ambavyo sote sio wakamilifu.

Lakini kwa kiasi kikubwa kwa utashi ambao Mungu ametupa sote yaani wanyama na binadamu haukutumia akili wakati unafanya kitu kama hiko

Hata sasa hautumii akili vile unavyowaza, kwa maoni yangu achana na hio ishu tena achana nayo.

Pole lakini kwa uote, usamehewe na kujaliwa maarifa akili na utashi mwema.
 
Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shdia, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa,
Malaya sikiliza! Yaache tu kama yalivyo maana utaunguza picha sasa hivi! Haki ya nani hutobozi!
 
Back
Top Bottom