Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Hata hiyo ndoa huyo mwanaume akija kujua...anaweza kumpiga chini...atunze mtoto wake mmoja halafu huyu mtoa mada atajua jinsi atakvyowatunza hao wengine watatu
 
Duh!
Yaan apa kwa jinsi ulivojieleza.
Nakwambia utadhambuliwa balaa mtoa mada na USHAUR utaupata kwa nadra Sana[emoji4]
 
Nilicho Jifunza Ni kwamba licha ya kuwa Hawa watu Ni Dada na Mama zetu

Lakini ukweli Ni kwamba WANAWAKE Ni viumbe vya Ajabu Sana na vilivyo kosa hurauma
 
Wanaume tuna mitihani aisee..unazaa na hawara kisa tu ana pesa..so kwa wakati mmoja ulikuwa unatombwa na wanaume wawili??

Ila wanaume tunalaumiwa sana lkn wanawake ni noma aise

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna jamaa hapa sijui liquid,alishawahi kutoa Uzi akawa anashauri Kua Sisi wanaume tuoe wanawake Kwa interest nje yamahaba namapenzi,kama vile pesa,KAZI,namambo mengine,kwani hata hao wanawake huja kwetu Kwa personal interest zao zisizohusiana kabisa namahaba au mapenzi,mfano,unakuta mwanamke anasema heri niolewe Tu kwani maisha yamekua magumu, either kutafuta KAZI,au watoto wajamii flani,warefu au weupe nk NK,...ukichunguza hii scenario yahuyu mmamama licha yakua nimke wamtu lkn,alimpatia kipaumbele mwanaume mwingine tena Mme wamtu,kisa Tu alihitaji wanae warithi Mali,..
 
Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shida, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa,

Kwakuwa kupindi hicho ndiyo nilikua nimeanza mahusiano na mume wangu nilibambikizia mimba na akanioa. Baada ya kuolewa yule Baba alirudi akaomba msamaha na kusema yuko tayari kuhudumia mwanae hata kama atatumia jina la mume wangu.

Basi nilimkubalia na tangu kipindi hicho alikua anahudumia mwanae kwa kila kitu. Kwakua alikua ananijali na kipato chake ni kikubwa basi nilijikuta narudiana naye, nikabeba mimba yake ya pili, nilimuambia mume wangu ni yake naye akawa anahudumia ila bado yule baba aleindelea kujali wanae mopaka kuwasomesha,

Mume wangu kipato ni cha kawaida ila mimi nafanya kazi pia, anajua nchukua mikopo kwaajili ya ada lakini ukweli Baba yao ndiyo anawasomesha. Niliamua kumazalia mume wangu mtoto mmoja ambaye ndiyo mwanangu wa tatu, lakini mtoto wangu wa nne ni wa yule Baba.

Baadahi ya ndugu zake alishawatambulisha na wanajua watopto wao kwani nilishawapeleka kwa Dada yao. Mwaka jana alianza kuumwa na mwezi huu mwanzoni alifariki dunia. Nilienda kwenye msiba kama watu wengine,

Sababu ya kuja kwako ni hivi, Baba wa wanangu kaacha mtoto mmoja tu na mke wake, lakini ana mali nyingi sana, ana nyumba 9, magari ya mizigo zaidi ya kumi na vitu vingi.

Nimefuatilia na kugundua kuwa hakuacha wosia inamaana mali zake nyingi zimebaki kwa mwanae aliyezaa na mke wake kwani ndugu nao wana mali zao hawhaangaiki naye. Natamani kwenda kudai haki za wanangu kwani kwakua dada yao ananifahamu na anawafgahamu watoto wa Kaka yake naamini nitapata.

Hofu yangu ni kama huyo mke wake atakataa na kusema hanitambui, nahofia kama ikiwa kwenda mahakamani labda mume wangu atajua. Kusema kweli nimechanganyikiwa, ndoa naitaka lakini mnikiwaza haki za wanangu natamani kwend ahata mahakamani, mimi ndiyo napaswa kupata kikubwa kwani nimemzalia watoto wa 3 wakati mke wake ana mmoja tu!
Kosa mume wako alifanya alikuoa ukiwa huna bikra.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anataka pakubwa tena yeye amezaa wa 3, ko mke wa ndoa na mwanae wapate kiduchu.
Hivi watu hawaogopagi kurogwa? Khaaaah
🤣🤣🤣🤣! Kabisa.... imagine watatu kwa mmoja halafu mke wa ndoa akubali kirahisi tu!!
 
Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shida, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa,

Kwakuwa kupindi hicho ndiyo nilikua nimeanza mahusiano na mume wangu nilibambikizia mimba na akanioa. Baada ya kuolewa yule Baba alirudi akaomba msamaha na kusema yuko tayari kuhudumia mwanae hata kama atatumia jina la mume wangu.

Basi nilimkubalia na tangu kipindi hicho alikua anahudumia mwanae kwa kila kitu. Kwakua alikua ananijali na kipato chake ni kikubwa basi nilijikuta narudiana naye, nikabeba mimba yake ya pili, nilimuambia mume wangu ni yake naye akawa anahudumia ila bado yule baba aleindelea kujali wanae mopaka kuwasomesha,

Mume wangu kipato ni cha kawaida ila mimi nafanya kazi pia, anajua nchukua mikopo kwaajili ya ada lakini ukweli Baba yao ndiyo anawasomesha. Niliamua kumazalia mume wangu mtoto mmoja ambaye ndiyo mwanangu wa tatu, lakini mtoto wangu wa nne ni wa yule Baba.

Baadahi ya ndugu zake alishawatambulisha na wanajua watopto wao kwani nilishawapeleka kwa Dada yao. Mwaka jana alianza kuumwa na mwezi huu mwanzoni alifariki dunia. Nilienda kwenye msiba kama watu wengine,

Sababu ya kuja kwako ni hivi, Baba wa wanangu kaacha mtoto mmoja tu na mke wake, lakini ana mali nyingi sana, ana nyumba 9, magari ya mizigo zaidi ya kumi na vitu vingi.

Nimefuatilia na kugundua kuwa hakuacha wosia inamaana mali zake nyingi zimebaki kwa mwanae aliyezaa na mke wake kwani ndugu nao wana mali zao hawhaangaiki naye. Natamani kwenda kudai haki za wanangu kwani kwakua dada yao ananifahamu na anawafgahamu watoto wa Kaka yake naamini nitapata.

Hofu yangu ni kama huyo mke wake atakataa na kusema hanitambui, nahofia kama ikiwa kwenda mahakamani labda mume wangu atajua. Kusema kweli nimechanganyikiwa, ndoa naitaka lakini mnikiwaza haki za wanangu natamani kwend ahata mahakamani, mimi ndiyo napaswa kupata kikubwa kwani nimemzalia watoto wa 3 wakati mke wake ana mmoja tu!
Mwaya usijali, hapa watu wanajifanya watakatifu na wewe unaonekana mdhambi kwa vile umeamua ku-share stori yako. Ninaamini unazo sababu zako ambazo wanadamu tunaweza tusizielewe. Naamini pia kuna watu wapo kimya lakini wana makubwa zaidi ya haya.

Sasa ngoja nikushauri:
Ungetaka watoto wafaidike na mali za huyo 'baba yao', ungemshawishi akingali hai awajengee misingi yao pembeni nakuwaandikisha kwa majina yao au yako wewe mama yao.

Umesema pia baba hakuacha wosia wowote unaowatambua hao wanenu(hii ni ajabu kwa nini baba huyu tajiri hakuamua kuwalinda wanae kama kweli aliwapenda na anayajua mazingira yaliyopo?? Au na yeye hakuwa na uhakika kama ni wanae?? Anyway tuyaache hayo),

Kwa vile 'baba yao mzazi' hakuacha mali wala wosia zilizowalenga, namna pekee yenye USALAMA KWAKO ambayo hao wanao wanaweza kufaidika na mali za baba yao ni huyo dada yao akiamua kuwagawia.

Vinginevyo utaishia kuaibika, kuharibu misingi ya familia yako na huenda ukapoteza vyote (ndoa na mali) kama wadau walivyokushauri hapo juu.

KILA RAHELI.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Kabisa.... imagine watatu kwa mmoja halafu mke wa ndoa akubali kirahisi tu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mke wa ndoa na mumewe wamaepigana ktk maisha, kutafuta urithi wa mtoto wao, yeye badala ya kuwa buzzy na mumewe eti yuko kutegesha mimba ili apate child support, hahahahah

Hajiulizi kwann huyo mwanaume hakuwahi muhusisha ktk mali zake juu ya hao watoto wa 3? Huyu mama anatafuta kimkute kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom