Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Ahahahaha hapa kazi tuNa January 2019 anaanza la kwanza bureee kabisa bila malipo.
AhahahahaMimi nataka kuchinja nilicholisha
Wap hukoo?!Huku kwetu jua Kali unaweza kunigawia
Huku niliko kunaitwa MalawiWap hukoo?!
doh mnakosa mengi sie TZ ndo tunatega mimbaaa hahahaHuku niliko kunaitwa Malawi
hahaha kapande mbegu ya uzazi weweeHali ya hewa shawishi hasa kwa kilimo
tumeshalimaaaa poleeeMimi nataka shamba la kukodi, mwenye nalo anakaribishwa pm.
njoo tupande
Mimi nataka kuchinja nilicholisha
mje na huku stori mpya imeshukaa Story: Money Penny ni nani lakini?!Na January 2019 anaanza la kwanza bureee kabisa bila malipo.
Sawadoh mnakosa mengi sie TZ ndo tunatega mimbaaa hahaha
hahaha kapande mbegu ya uzazi wewee
tumeshalimaaaa poleee
mje na huku stori mpya imeshukaa Story: Money Penny ni nani lakini?!
Ningefurahi sana kama tungepanda mimi na wewe mkuu,itapendeza sana.
Mvua hizi jaman
Ukipanda Januari 2018 unavuna Octoba 2018
Tujitahidi Jamaani
Team Mapacha Vepe?!
Team kujigijigi speed ngap mpo?
Team kusimamia ukucha niaaaajeee?