Ushauri: Mwaka umepita toka mzazi mwenzangu achukuliwe na mama yake kwa nguvu, nimechoka nataka kuanza safari mpya

Maybe haukumchukua kwao kwa utaratibu... Hakuna mzazi anafurahishwa binti yake achukuliwe tu kienyeji azalishwe na aishi na mwanaume bila wao kuhusishwa na kufata taratibu za kimila au za kidini
Sasa binti kashazalishwa na aliyemzalisha amekubali kumlea ni utaratibu upi huo unaoutaka zaidi ya mzazi kutoa baraka?

Mengine yatajisovu yenyewe mbele ya safari .

Usingo maza ndio unaanzaga hivyohivyo
 
Twende tukamteke kibabe
 
Maybe haukumchukua kwao kwa utaratibu... Hakuna mzazi anafurahishwa binti yake achukuliwe tu kienyeji azalishwe na aishi na mwanaume bila wao kuhusishwa na kufata taratibu za kimila au za kidini
Yawezekana ikawa hivyo Kwa asilimia 99
 
Mwanamke wako hana misimamo. Kwann mzazi aseme yeye anateseka wakati muhusika hana tatizo? Au labda ni kweli unamtesa mtoto wa watu.
Kuna vitu huyu jamaa amecha. Huyo anaemuita mke wake karidhia kurudi nyumbani ujue kulikuwa na shida
 
Kwani ulishamuoa au mlikuwa mwaishi tuu kwa kuwa mmezaa pamoja?
Bila shaka huyo mkwe na mwanao ni wazaliwa wa ukanda wa pwani maana hao ndio wenye hizo tabia!
Kama ni miaka mitano sasa kama ni ndoa ilishavunjika kitambo wewe tafuta mwanamke mwingine!
 
Kuna jambo wanalificha, huyo siyo mtoto wako.
 
Oa mwanamke mwingine ili siku akirudi akute una mke ila huyo mwanamke utakae muoa mwambie ukweli una mtoto nje. Akitaka kubaki mwambie hapa huna chako kabaki na mama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…