Ushauri: Mwalimu ngazi ya cheti anataka kusomea Upishi ngazi ya Diploma. Je, ataweza kuwa mkufunzi VETA?

SUMMA HARRISON

New Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
1
Reaction score
1
Ndugu zangu habari za leo, naomba ushauri wenu Mwalimu shule msingi ngazi ya cheti. Anataka abadili muundo ajiendeleze kwa kusoma VETA diploma ya food production (upishi) aachane na kusomea Diploma ya ualimu maana upishi ndo course anayoipenda zaidi.

Je, ataweza kubadilishiwa muundo na kuwa Mwalimu VETA au wa upishi kwa vyuo au shule kwa urahisi ? Au atakuwa anapoteza muda?

Tunaomba ushauri wenu wakuu
 
Habari mkuu, Kwa mtumishi wa umma lazima uhakikishe unapotaka kuhamia Kuna nafasi. Kama kule kwenye chuo Cha Veta atapata nafasi afanye tu mchakato ni jambo zuri
 
Kwanza tambua veta hawatowi Diploma Bali veta wanatoa cheti cha NVA level award mwisho level3,turudi kwenye maada,Kama una grade sidhani Kama itakuwa sifa ya kuingilia chuo Cha ualimu wa mafunzo stadi maana kile Cha morogoro wanataka kwa ngazi ya cheti,sifa uwe na NVA level 3 ya veta na d mbili form 4 kwa Diploma ya ualimu wa mafunzo ya ufundi stadi wanataka uwe na diploma ya kozi za ufundi kutoka nacte,na Kama huna sifa hizo basi unapaswa ukasome diploma kwanza au ukasome miaka mitatu veta ndio ukaanze cheti Cha ualimu Hadi diploma ya ualimu,
 
Umekurupuka kujibu bila kufanya utafiti na pia hujamuelewa mleta mada
Kwamza yeye ni mwalimu ngazi ya cheti anataka ajiendeleze kwenye fani ya upishi asome diploma then ahamie veta kufundisha uposhi

Kuna baadhi ya vyuo vya veta vinatoa diploma ya baadhi ya fani mfano VETA Arusha,VETA dar es salaam -Chang'ombe n.k
ila yote kwa yote hoja yake anataka ahamie kuwa mwalimu wa Veta atoke kwenye kufundisha primary school na kozi aliyochagua ni upishi
 
E

Ndugu sjakurupuka Bali nimepita mle mle, vocational training inaishia level3 kwanzia level 4 Ni technical award ambapo Kuna badhi ya vyuo Kama ulivyovitaja vinatoa both technical training na vocational training hivyo Kama anataka atumie cheti chake Cha ualim basi aende open University of tz asome foundation course alafu akipata sifa basi aunge na diploma simple tu,ila Kama ni cheti Cha ualim gradeA haiwezi kuwa entry qualifications ya diploma ya upishi, kwa vyuo Hivi vya kawaida .kwa mapungufu yaliyopo tusahihishe ili ndugu yetu apate mwongozo
 
Unadhani mwenye cheti cha ualimu shule ya msingi hana pass 4 yw kidato cha nne ( kwa maana D angalu 4) zinazohotijita kusoma diploma ya kitu chochote? Au kuna kitu hujakielewa hapo? Unafahamu sifa za mtu kusoma ualimu grade A?
Anyway,Mimi ni mdau wa Technical amd vocational education

Kwa kifupi ni kwamba mtoa mada ana sifa zot3 za kusoma diploma ya kozi anayotaka chuo chochote kwa kutumia cheti chake cha kidato cha 4
Pia anaweza kuhamia kufundisha vyuo vya VETA kama anavyotaka yeye baada ya kumaliza hiyo diploma yake,endapo atapata nafasi ya kuhamia
Kule ataitwa Vocational Teacher
VETA ina walimu wenye level ya diploma na
Level ya cheti/grade 3 ambao wanaitwa assistant vocational teacher na wale wenye degree wanaitwa Vocational Tutor
Pia VETA wanakuajiri ata usipokua na taaluma ya ualimu ila unatakiwa ukasome ukiajiriwa,wana chuo chao pale morogoro MVTTC
 
Edit futa hizo namba zako hapo maana humu jukwaani kuna matapeli pia mwalimu usije ukalizwa bure kama kuna lolote njoo PM tuelekezane
 
Kwa hiyo kuliko kuwa mwalimu bora akawe mpishi tu?
 
Ndugu zangu habari za leo, naomba ushauri wenu Mwalimu shule msingi ngazi ya cheti. Anataka abadili muundo ajiendeleze kwa kusoma VETA diploma ya food production (upishi) aachane na kusomea Diploma ya ualimu maana upishi ndo course anayoipenda zaidi.

Je, ataweza kubadilishiwa muundo na kuwa Mwalimu VETA au wa upishi kwa vyuo au shule kwa urahisi ? Au atakuwa anapoteza muda?

Tunaomba ushauri wenu wakuu
Nenda advance mkuu usitake short cut utapoteza muda dada angu
 
Back
Top Bottom