SUMMA HARRISON
New Member
- Feb 1, 2017
- 1
- 1
Ndugu zangu habari za leo, naomba ushauri wenu Mwalimu shule msingi ngazi ya cheti. Anataka abadili muundo ajiendeleze kwa kusoma VETA diploma ya food production (upishi) aachane na kusomea Diploma ya ualimu maana upishi ndo course anayoipenda zaidi.
Je, ataweza kubadilishiwa muundo na kuwa Mwalimu VETA au wa upishi kwa vyuo au shule kwa urahisi ? Au atakuwa anapoteza muda?
Tunaomba ushauri wenu wakuu
Je, ataweza kubadilishiwa muundo na kuwa Mwalimu VETA au wa upishi kwa vyuo au shule kwa urahisi ? Au atakuwa anapoteza muda?
Tunaomba ushauri wenu wakuu