wana jf habari
mpenz wangu alitoa mimba kwa kutumia vidonge(misoprostol).
Sasa hivi anatokwa na damu none stop takriban one consecutive month.
Naomba kwa yeyote anayefahamu madhara ya muda mfupi/mrefu ya vidonge hivi anijuze ili niweze pia kufaham.
NB: nilimkataza sana asitoe hiyo mimba hadi ilifikia tukashirikisha ndugu,jamaa na marafiki lkn alifanya kwa kificho.
Nawasilisha
even my wife anamenstruate ni 3 week now inanitisha sana sometimes pieces of somesort just like whitish meatlish
hizi dawa kwa kweli ni mbaya sana,"thanks"!on the way to hospital now!Usiogope. Mpeleke hosp kwa daktari wa wanawake. Atasaidiwa na kuwa sawa kabisa
Unasikia? Hahaha! Shikamoo King'asti! Kweli kabisa. Mpeleke haraka Marie Stopes. Wamebobea kwenye mambo hayo. Sijui ni lini Tanzania itaruhusu utoaji mimba salama. Wanawake wanahangaika kutoa huko vichochoroni kwa njia za ajabu ajabu. Wengine wamepoteza hata maisha.Mpeleke hospitali. Marie stopes nasikia ndo wataalamu san wa hizi issues?
hizi dawa kwa kweli ni mbaya sana,"thanks"!on the way to hospital now!
kwanza pole then wewe na girlfriend wako mna hatari kutoka damu mwz mzima ni hatari kwa nini hujampeleka hospital hadi leo.ivyo vidonge kawaida yake damu hutoka kwa wingi cku ya kwanza then itaendelea kupungua cku zinavyozidi kwenda mbele mpaka hata wiki mbili itatoka ila kidogokidogo sana na pia ni hatari km mimba yake ilikuwa ni kubwa ni hatari na wao wanakataza kutumia kwa mimba kubwa.wao wanashauri km ukipata tatizo sio lazima ukienda hospital umwambie dr umetoa mimba ukinywa ivyo vidonge hawezi jua unaweza sema imetoka ila me nahic ukweli ukisema itakuwa rahic kupata utatuzi.
NB.KABLA YA KWENDA HOSPITAL INGIA KWANZA GOOGLE THEN ANDIKA KUTOA MIMBA NA MISOPROSTOL KWA KISWAHILI UTAPATA MAELEZO MAREFU SOMA YOTE YATAKUPA MWANGA JINSI YA KUFANYA.