Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Sema mpenzi wakoHabari za majukumu wana jf. Nina ndugu yangu alitoa mimba ya mwezi 1 kwa kutumia vidonge vya misoprostol tatizo ni ana bleed Leo siku ya NNE. Atumie nn kukata hiyo kitu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda polisi kupata pf3 ndo umpeleke hospitali, wote nyie ni wahalifu!
Huo ndo upuuzi hii jf ungeiona wapi wangekuabortwana jf habari
mpenz wangu alitoa mimba kwa kutumia vidonge(misoprostol).
Sasa hivi anatokwa na damu none stop takriban one consecutive month.
Naomba kwa yeyote anayefahamu madhara ya muda mfupi/mrefu ya vidonge hivi anijuze ili niweze pia kufaham.
NB: nilimkataza sana asitoe hiyo mimba hadi ilifikia tukashirikisha ndugu,jamaa na marafiki lkn alifanya kwa kificho.
Nawasilisha
Angalia inboxwana jf habari

unaitwa polisi kwa kosa la kuua kwa kukusudia kwani hujui KUTOA mimba ni jinai?wana jf habari
mpenz wangu alitoa mimba kwa kutumia vidonge(misoprostol).
Sasa hivi anatokwa na damu none stop takriban one consecutive month.
Naomba kwa yeyote anayefahamu madhara ya muda mfupi/mrefu ya vidonge hivi anijuze ili niweze pia kufaham.
NB: nilimkataza sana asitoe hiyo mimba hadi ilifikia tukashirikisha ndugu,jamaa na marafiki lkn alifanya kwa kificho.
Nawasilisha
ungeenda inbox kabisa na weewe unaitwa polosi kwa kushiriki mauwajiAngalia inbox
itakuwa ni mwanaume ndo alimshawishi atoe unauliza sababu?Mi nilimwacha msichana kwa sababu ya kutoa mimba, kiongozi una moyo mpaka leo upo nae. sababu ya kutoa mimba alisema ni nini? Mara nyingi wanakuwaga wamechanganya madesa.
Kwa uelewa wangu hata siku moja binti huwa haombi wala kulazimisha kutoa mimba. Ila atakulazimisha uende kwao ukakamilishe taratibu, kaa chonjo unaibiwa mkuu A.K.A.47
unaitwa polisi kwa kosa la kuua kwa kukusudia kwani hujui kutia mimba ni jinai?
ASANTE KWA MAREKEBISHO ILA KWANINI HUKEMEI UTOAJI WA MIMBA UNAMFUNZA@ LEAST UNGEANZA KWA KUMUELIMISHA MADHARA YA KUTOA MIMBA KISHA UMSHAURIKutia mimba ni jinai? We pumber la wapi, Tukuyu?
KWAHIYO KUMBE HIZO DAWA NI ZA KUTOLEA MIMBA?wana jf habari
mpenz wangu alitoa mimba kwa kutumia vidonge(misoprostol).
Sasa hivi anatokwa na damu none stop takriban one consecutive month.
Naomba kwa yeyote anayefahamu madhara ya muda mfupi/mrefu ya vidonge hivi anijuze ili niweze pia kufaham.
NB: nilimkataza sana asitoe hiyo mimba hadi ilifikia tukashirikisha ndugu,jamaa na marafiki lkn alifanya kwa kificho.
Nawasilisha
Elimu tumeshapeana inbox.ASANTE KWA MAREKEBISHO ILA KWANINI HUKEMEI UTOAJI WA MIMBA UNAMFUNZA@ LEAST UNGEANZA KWA KUMUELIMISHA MADHARA YA KUTOA MIMBA KISHA UMSHAURI
HAPA MKUU INAELEKEA UNAUJUZI UFAHAMU NA UELEWA UNGEWAAMBIA WOTE MAANA KWA UZI HUU KUNA WATU WAMESHAKIARIRI JINA LA DAWA NA WATAENDA KUTOA MIMBA MKUUElimu tumeshapeana inbox.
Hilo sio tatizo kubwa sana mkuu lisikutishe japo ni hatali kwani mgonjwa anaweza poteza maisha kama akichelewa . hapo anatakiwa akasafishwe tu inaonyesha hiyo mimba haikutoka vizuri bado kuna uchafu umebaki ndani ya mfuko wa kizazi ukimpeleka kwa daktari atamsafisha vizuri atatoa hizo damu zilizobaki kwa vifaa maalum.wana jf habari