Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mzuri sanaOngea na club ya Southampton ndo timu ambayo sheria zao ni rafiki au Chelsea; inngia kwenye tovuti vyao kupata jinsi ya kuwasiliana nao.
Kuanzia Leo anza kuchua video akiwa anacheza na wenzake.
Asante na wewe kwa kupokea ushauri mkuu.Ushauri wako Nitaufanyia kazi mkuu kweli hapa hapaharibiki jambo mkuu
Asante mkuu kwa ushari wako hali yangu ya uchumi hairuhusu ila nitaongea nawatu mkuu
Mpeleke La masia mkuuMtibwa wana academy ya soka kama unajua email yao naomba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Bongo hata ukazaliwa na mpira mkononi, kipaji kinapotea.. Kwa kuwa hakuna utaratbu wa kuendeleza vpaji