ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hii itasaidia sana kuongeza space ya abiria wengi kuingia katika gari na itapunguza kasi ya kugombea.
Basi zijazo kwa msaada kidogo waweke kile kiti kirefu kimoja tu cha kukaa wamama, mtoto na wazee. Zaidi haya magari yawekwe mikanda mingi ya kujishikilia.
Huko tuendako huduma hii itapanuka hadi Mbagala na kama njia ya Kimara tu yameshaonekana mateso na dhiki kuu hii Kilwa Road itakua ni kifo!