Ushauri Mwendokasi zitakazokuja zisiwekwe viti

Ushauri Mwendokasi zitakazokuja zisiwekwe viti

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Hii itasaidia sana kuongeza space ya abiria wengi kuingia katika gari na itapunguza kasi ya kugombea.

Basi zijazo kwa msaada kidogo waweke kile kiti kirefu kimoja tu cha kukaa wamama, mtoto na wazee. Zaidi haya magari yawekwe mikanda mingi ya kujishikilia.

Huko tuendako huduma hii itapanuka hadi Mbagala na kama njia ya Kimara tu yameshaonekana mateso na dhiki kuu hii Kilwa Road itakua ni kifo!
 
Nilijua utasema wasitishe mwendokasi waweke train ingekua msaada zaidi ya kutoweka siti kwenye mwendokas
 
Endelea kutoa mawazo yako tu maana jamii forums ni vumilivu sana,mwishowe mtakuja kusema watu wapungue kuishi along Morogoro road waamie maeneo mengine na jf itakumilia tu 😐😐😐
 
Back
Top Bottom