Ushauri na fursa za biashara

Ushauri na fursa za biashara

Aneman

Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
24
Reaction score
5
Mnakaribishwa wote kupata ushauri na fursa ya biashara hapa Tz.
Kwa wale waliojaribu biashara mbalimbali bila mafanikio na kukata tamaa na wangependa kujaribu fursa nyingine tena ni-inbox nikupatie mawasiliano yetu.
Usikubali kukata tamaa..songa mbele.

Karibu
 
Wewe ndio umekata tamaa.
Maana mtu akiku inbox lazima utampeleka kwenye Charges.
This is Jamii forum,uwazi hapa hapa.

Usitake kuongezea watu umasikini
 
Mnakaribishwa wote kupata ushauri na fursa ya biashara hapa Tz.
Kwa wale waliojaribu biashara mbalimbali bila mafanikio na kukata tamaa na wangependa kujaribu fursa nyingine tena ni-inbox nikupatie mawasiliano yetu.
Usikubali kukata tamaa..songa mbele.

Karibu

Wewe ni sawa na wale waganga wa jadi wanaotibu UKIMWI, NYOTA ZA UTAJIRI, NGUVU ZA KIUME n.k. ungekuwa na hizo mbinu na fursa !!! ungekuja humu JF kutafuta nini tena ? ? ungekuwa busy kukusanya pesa na utajiri tu
Bora useme jamani njooni tubadilishane mawazo maisha yanatushinda ! ! !
 
Back
Top Bottom