Nina maswali mengi najiuliza bado sijapata jibu sawa sawa, nilikutana na wasichana 3 tofauti kwa muda, miezi na siku tofauti, wasichana hao umri umeenda, walikuwa wakilalama kuhusu yanayo wasibu na kupoteza matumaini, maisha magumu hawana kazi na wanaume wamekuwa kama wamewapa kisogo pamoja na kuwa wanahitaji kweli kuolewa.
Ilitokea tu nikawashauri la kufanya na hatua za kuchukua ndani ya siku 5, cha ajabu yaliyo watokea ni kwamba nimewaona wanachangamka na wana furaha muda wote, hawana tena stress, wanaume wana wafukuzia kwa mujibu wa rafiki mmoja, hawaja niambia ila maisha yamebadilika ghafla.
Sijawauliza maana siko interested ila nilicho kiona kina nishangaza, swali najiuliza ni hatua nilizo waelekeza ndio zimewafanya wawe kama walivyo? kusema ukweli walikuwa na msongo wa mawazo na walikuwa kama wamekata tamaa na maisha. Maneno tu ya kubadili mfumo wa maisha na nini cha kufanya wakiona nini ndani ya siku 5 tu ndio imewaletea mafanikio na mabadiliko katika miili yao, muonekano na maisha.
Kama kweli na hatua hizo walizizingatia basi Mwenyezi Mungu aendelee kuwa hudumia na kuwapa zaidi.