Ushauri na maoni yenu juu ya huu mchoro.

Break Time

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
283
Reaction score
500
Habari wana bodi!

Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi.

Eneo: 40m x 20m = 800sqm

Ninatanguliza shukrani.
 
Ramani ni nzuri, ila inawezwa boreshwa kwa kumodify ilipo public toilet in such away mgeni asiweze ona vyumbani kukoje anapoenda chooni kingine ni location ya office kama unahitaji utulivu mkubwa unapofanya kazi zako kwa maana ya kuwa mbali na makelele basi fikiri mara mbili kuhusu ofisi ilipo maana ni mkabala na jiko na sebule otherwise if kazi yako na kelele ni damdam basi ni sawa
 
Yes kwenye public toilet umenipa wazo jipya, public toilet ikikaa ilipo laundry na laundry ikaenda ilipo public toilet naona kama itakua vizuri. Kuhusu ofisi nitawaza upya. Asante kiongozi.
 
Habari wana bodi!

Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi.

Eneo: 40m x 20m = 800sqm

Ninatanguliza shukrani.
Kama matumizi ya ofisi ni kwa ajili ya kazi ambazo zinahitaji utulivu sana na kama si ofisi ambayo kutakuwa na muingiliano wa watu wengine ingekuwa mimi ningeiweka karibu na masterbedroom. Na kingine ningeifanya vilevile kuwa ni prayer room na ndiyo ingekuwa library vilevile kwa hiyo ningemwambia mchora ramani achakachue kichwa na vilevile hata kama ingekuwa mara moja moja naitumia na watu wengine wa nje ya familia basi nigeiweka uelekeo huo huo wa masterbedroom na ingekuwa na mlango wa nje ambao ungeungana na hiyo umeita deck lengo likiwa mtu wa huyu ambaye nafanya naye kazi na si mwanafamilia basi asiingilie office kwa kupitia vyumbani au sebuleni na kingine vilevile inaweza kuwa tena ni kimini sebule ambacho naweza kaa na mgeni wangu pasipo usumbufu wa watu wengine wa familia hasa watu wa jikoni na watoto na marafiki wa watoto au ndugu.
 
Yeah lengo nikuitumia kama ofisi, pray room, na min library. kuhusu kuiweka near by master-bedroom kwajili ya ku escape kelele na movement nyingi nimeichukua hii idea nitamshirikisha Architect tuone. Ninashukuru kwa mawazo mazuri ndugu yangu Komaa.
 
1. Ofisi ibakie hapo hapo. You can't drag it close to your bedroom. Kelele za jikoni zitakuwa muffled na ukuta na makabati ya jikoni. Labda uongeze mlango ambao mgeni wa ofisi ataingia directly ofisini bila ya kukatiza sebuleni.
2. Fuata ushauri wa kuhamisha public toilet kama alivyoshauri mdau hapo juu.
3. Nyumba ina konakona nyingi sn sijaelewa kwanini
4. Since una eneo kubwa basi ni vyema pia ukaweka a small gym ambayo itakuwa accessible to all. Mfano hapo ilipo public toilet ungeweka gym. Public toilet ihamie hapo ilipo laundry. Na laundry niitupe huko nyuma nyuma karibia na kamba za kuanika nguo ambapo movement za dada wa kazi au wafugaji/wapiga pasi wengine hazitakuwa ni zenye kusikika sebuleni
Ni ushauri tu though
 
Safi kabisa huu ushauri nauchukua kama ulivyo hasa issue ya gym sikuiwaza kabisa nashukuru sana kiongozi.
 
1. Ofisi ibakie hapo hapo. You can't drag it close to your bedroom. Kelele za jikoni zitakuwa muffled na ukuta na makabati ya jikoni. Labda uongeze mlango ambao mgeni wa ofisi ataingia directly ofisini bila ya kukatiza sebuleni.
2. Fuata ushauri wa kuhamisha public toilet kama alivyoshauri mdau hapo juu.
3. Nyumba ina konakona nyingi sn sijaelewa kwanini
4. Since una eneo kubwa basi ni vyema pia ukaweka a small gym ambayo itakuwa accessible to all. Mfano hapo ilipo public toilet ungeweka gym. Public toilet ihamie hapo ilipo laundry. Na laundry niitupe huko nyuma nyuma karibia na kamba za kuanika nguo ambapo movement za dada wa kazi au wafugaji/wapiga pasi wengine hazitakuwa ni zenye kusikika sebuleni
Ni ushauri tu though
Kuhusu kona kuwa nyingi ningependa kusikia mtazamo wako kuhusu hilo!

Je, kona zikipunguzwa haziwezi kupoteza muonekano wa nyumba?
 
Nikusaidie kila mtaalamu aone na kutoa ushauri
1727478886239.png
 
Kuhusu kona kuwa nyingi ningependa kusikia mtazamo wako kuhusu hilo!

Je, kona zikipunguzwa haziwezi kupoteza muonekano wa nyumba?
Ngoja nikitulia nitakufanyia Sketch ya hiki ninachokisema. Otherwise the whole design ni nzuri. Cos kuna issue kama ya eneo la jiko... Unajua siku hizi jikoni ndio maskani ya mke na mashoga zake pia. Kunakuwa kuna meza na viti vya kukalia hapo so in essence hiyo stoo ya jikoni inamezwa na eneo lote linakuwa ni jiko. Vya kuwekwa stoo vitakaa ktk makabati ya jikoni. A kitchen should be a nice and cozy place. Ziada ya vitu vya stoo utavijenge pembeni huko... Pengine ktk sehemu ya simtank kwa juu, chini unaweka stoo na choo cha nje. Ni mawazo tu. Shukran
 
Yani vyoo vya public umeweka mlango wa Master bed room? halafu dirisha la master pia lina pumuliwa na vyoo? Ungebadirisha eneo la hivyo vyoo vikae mbali nawe.
 
Habari wana bodi!

Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi.

Eneo: 40m x 20m = 800sqm

Ninatanguliza shukrani.
Library nyumbani ni muhimu kuliko ofisi.
Tumeona kuna kitchen store, ila hakuna general store.
Vitu vyako utavihifadhi wapi?
 
Ngoja nikitulia nitakufanyia Sketch ya hiki ninachokisema. Otherwise the whole design ni nzuri. Cos kuna issue kama ya eneo la jiko... Unajua siku hizi jikoni ndio maskani ya mke na mashoga zake pia. Kunakuwa kuna meza na viti vya kukalia hapo so in essence hiyo stoo ya jikoni inamezwa na eneo lote linakuwa ni jiko. Vya kuwekwa stoo vitakaa ktk makabati ya jikoni. A kitchen should be a nice and cozy place. Ziada ya vitu vya stoo utavijenge pembeni huko... Pengine ktk sehemu ya simtank kwa juu, chini unaweka stoo na choo cha nje. Ni mawazo tu. Shukrani.
Ngoja nikitulia nitakufanyia Sketch ya hiki ninachokisema. Otherwise the whole design ni nzuri. Cos kuna issue kama ya eneo la jiko... Unajua siku hizi jikoni ndio maskani ya mke na mashoga zake pia. Kunakuwa kuna meza na viti vya kukalia hapo so in essence hiyo stoo ya jikoni inamezwa na eneo lote linakuwa ni jiko. Vya kuwekwa stoo vitakaa ktk makabati ya jikoni. A kitchen should be a nice and cozy place. Ziada ya vitu vya stoo utavijenge pembeni huko... Pengine ktk sehemu ya simtank kwa juu, chini unaweka stoo na choo cha nje. Ni mawazo tu. Shukran
Najaribu kujenga taswira ya kitu unachokisema na niwazo zuri Sana kiongozi nitashukuru sana kama nitapata sketch toka kwako. Nikushukuru kwa michango yako mizuri sana.
 
Back
Top Bottom