Ushauri na maoni yenu juu ya huu mchoro.

Ushauri na maoni yenu juu ya huu mchoro.

Yani vyoo vya public umeweka mlango wa Master bed room? halafu dirisha la master pia lina pumuliwa na vyoo? Ungebadirisha eneo la hivyo vyoo vikae mbali nawe.
Public toilet itahamishiwa sehemu ya laundry. Asante sana wasu!
 
Habari wana bodi!

Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi.

Eneo: 40m x 20m = 800sqm

Ninatanguliza shukrani.
Ramani nzuri mkuu na mimi nimekuibia nitaenda ni-modify! Ushauri wangu kama utaweza kuweka exit door kati ya Master bedroom na bedroom 03 hapo kwenye corridor itapendeza. Sasa hivi mkuu bahati mbaya itoke ajali ya moto huku kwenye lounge na kitchen mpaka mfike kwenye mlango wa jikoni itakuwa to late! All in all ramani nzuri!
 
Hakika wazo lako ni zuri nitakaa na Architect tuone namna ya kuliweka hilo. Asante sana ndugu yangu Manjagata.
 
Ramani nzuri.Vyumba 4 Vyote ensuite,Safi kabisa.Hebu fikiria Wakati umefika 60 au 65 watoto washaondoka,Vyumba 3 vitakuwa na Matumizi gani?
 
Ramani nzuri.Vyumba 4 Vyote ensuite,Safi kabisa.Hebu fikiria Wakati umefika 60 au 65 watoto washaondoka,Vyumba 3 vitakuwa na Matumizi gani?
Kwakweli hoja yako ni sahihi kabisa watu wazima wengi wakisha fikia umri ambao watoto wanajitegemea huwa wanakumbana na hiyo kadhia lakini hata vingekua vyumba viwili haiondoi uhalisia kwamba upweke utabaki pale pale. Ila kwa hizi extended family zetu za kiafrika haina budi kuwa hivi mkuu wangu. Otherwise umezungumza ukweli kabisa na ninakuahukuru kwa mchango wako uliotukuka.
 
Back
Top Bottom