Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

Mkuu naona story yako Kwa kiasi flani inafanana na yangu


Natafuta hela jifanye atleast TOEFL target yangu marekani

Kusema ukweli sikua na iyo 700K Ila nitajichanga nifanye mwakani (Hapa ndipo palipo nikwamisha)

Mwaka huu nitacheza DV lottery

Mungu akusaidie pia unaweza kuwa mwanga uko mbeleni kusaidia wengine.

Ila usikate tamaa Mkuu pambana utatoboa

Mimi nakuja Ila najipanga Naami Mungu atanisaidia.

 
Navumiliaje hapa, nikiwa na insufficiency fund Mkuu, ngoja niende mbele sijui safari yangu itanipa nini lakini naamini Mungu atakuwa nami.
Dahh..we jamaa hongera Sana,nawaza ndugu walokutenga na washakji walokukimbia plus mchumba wakiskia umefika US watakua na Hali gani?pole sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mungu akubariki sana, niko hapa nasoma huu ushauri wako leo nikiwa USA, nina amani kabisa na furaha, yote uliyoniombea naona yanatokea, Mungu akubariki nawe sana.
 

I have been to USA many times, kama hauna ties zozote za mke na ndugu na marafiki nenda USA.

Ukifika USA jimbo lolote hata kama huna lolote utasogea tu, cha maana usiwe na aibu. Hata kama huna pa kulala.

Cha maana.

- Ukifika tafuta wa Tanzania, wapo wengi na hukutana mara nyingi, elezea hali yako.

- Jitahidi sana kuwa active member Kanisan kwa Imani kabisa au kwa dini yako yeyote.

- Usiwe omba omba kabisa, yani kaa kiume, ukishibana na mtu sana ndo umweleze shida zako.


Kwa maelezo yako, changamoto kubwa nayoiona kwako ni kupata visa kwa mazingira yako ya kudunduliza.

Na visa sio fee tu, ni uwezo wako wa kueleze na uhalisia wa financials zako, mfano: Your Bank statement.

Shukuru Mungu unayapitia haya una mle wala mtoto, ungekuwa nao ni story ingine kabisa.

Mungu ni mwema hajawahi kumtupa yeyote mwenye bidii na Imani.
 
Upo outdated, mshkaji viza alishatusuwa na yupo Marekani tangu mwaka Jana.

Msome post ya juu hapo.
 
Mkuu nilifuata hii njia ulivyonishauri, hawa watu wamekuwa wema mno kwangu, Mungu yupo aisee, Mungu yupo, in short leo nimeona nifanye Personal Reflection kupitia hii thread ili kuniongezea hamasa zaidi ya kupambana, kujua na kukumbuka ulipotoka (siku mbaya ulizopitia) ni hatua bora ya kukumbuka ni nini unapaswa ufanye.
 
Ahsante Mkuu, nashukuru sana kwa huu ushauri bado naweza kuufanyia kazi hata huku niliko, nimefika US nina almost nusu mwaka sasa, naendelea vizuri kabisa Mungu amekuwa mwema kwangu, namshukuru.
 
Mpaka December kibubu chako cha part time job kitakuwa kimejaa, usinisahau kunitumia ya ugolo ili Nile matunda ya free consultation, au siku hizi wanaita sadaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…