DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Mletamada umeshindwa kuanza k iwanda au?Jamani, nataka kuanzisha biashara ya kutengeneza mifuko ya karatasi (paper bags). Naomba, anaejua ni wapi naweza pata materials kwa maana ya karatasi zile ngumu za kaki anisaidie.
Ipi unataka? Hii midogo midogo? Offa yako sh ngapi?Mkuu kama tayari unazo tufanye biashara nimepata oda pia kwa mwenye nayo ani pm!
Mkuu, nahitaji hizo karatasi ngumu za kaki, kama unajua sehemu au unazo nisaidie.Mletamada umeshindwa kuanza k iwanda au?
Watafute watu wa SPM kule mufindi.Jamani, nataka kuanzisha biashara ya kutengeneza mifuko ya karatasi (paper bags). Naomba, anaejua ni wapi naweza pata materials kwa maana ya karatasi zile ngumu za kaki anisaidie.
Mkuu ulimaanisha MPM bila shaka! Ni kweli hiyo inaweza kuwa suluhisho!Watafute watu wa SPM kule mufindi.
Kama upo dar watafute mufindi paper mills saza road chang'ombe utapata mahitaji yako.Mkuu, nahitaji hizo karatasi ngumu za kaki, kama unajua sehemu au unazo nisaidie.
Nashukuru sana,Kama upo dar watafute mufindi paper mills saza road chang'ombe utapata mahitaji yako.
Kila la kheriNashukuru sana,
Ahsante kwa ushauri mkuuUsidhani kuwa utakuwa ni wa kwanza kufanya Biashara hiyo...!!
Wapo/wako wengi katika biashara hii, na wanamudu kupitia kazi hiyo, wanaendesha familia zao..!
Ni biashara inalipa, kubwa ni kuwa na Usafiri (Pikipiki/Baiskeli) ili kurahisisha kuwafikia wateja kwa wakati..
Nashukuru mkuu kwa ushauri,nitaufanyia kaziBora ufanye ushindwe kuliko kutofanya jiandae kuzikabili changamoto na siyo kuzikimbia changamoto