Ushauri na muongozo kuhusu biashara ya mifuko ya plastic na ile ya karatasi

Ushauri na muongozo kuhusu biashara ya mifuko ya plastic na ile ya karatasi

Jamani, nataka kuanzisha biashara ya kutengeneza mifuko ya karatasi (paper bags). Naomba, anaejua ni wapi naweza pata materials kwa maana ya karatasi zile ngumu za kaki anisaidie.
Mletamada umeshindwa kuanza k iwanda au?
 
Mkuu kama tayari unazo tufanye biashara nimepata oda pia kwa mwenye nayo ani pm!
 
Jamani wadau habari zenu natamani kufungua kibanda ila nimepata wazo la kuuza rambo au mifuko ni biashara nzuri kwa walio nitangulia au sivyo.

Nataka kujua changamoto zake.

Naombeni ushauri wenu
 
Unataka kujua changamoto za nani wakati wewe unaanzisha sehemu yako ya biashara? Acha ujinga inamaana hata mtaani hakuna wauzaji uulize update pakuanzia?
 
Jamani, nataka kuanzisha biashara ya kutengeneza mifuko ya karatasi (paper bags). Naomba, anaejua ni wapi naweza pata materials kwa maana ya karatasi zile ngumu za kaki anisaidie.
Watafute watu wa SPM kule mufindi.
 
Mkuu, nahitaji hizo karatasi ngumu za kaki, kama unajua sehemu au unazo nisaidie.
Kama upo dar watafute mufindi paper mills saza road chang'ombe utapata mahitaji yako.
 
Habari,nataka kujiajiri kwa kutembeza kuwasambazia watu mifuko hii ya plastiki,nailoni madukani,magengeni na sehemu yeyote inapohitajikak kwangu nimeona ni fulsa,vp inaweza kunilipa kuweza kuingiza kipato cha kila Siku? vipi soko lake lipo?msaada wa mawazo tafadhali.ahsante
 
Usidhani kuwa utakuwa ni wa kwanza kufanya Biashara hiyo...!!

Wapo/wako wengi katika biashara hii, na wanamudu kupitia kazi hiyo, wanaendesha familia zao..!

Ni biashara inalipa, kubwa ni kuwa na Usafiri (Pikipiki/Baiskeli) ili kurahisisha kuwafikia wateja kwa wakati..
 
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Bora ufanye ushindwe kuliko kutofanya jiandae kuzikabili changamoto na siyo kuzikimbia changamoto
 
Back
Top Bottom